Hili la mfalme wa Oman kutaka kumpa uraia wa Oman King Kiba linvekuwa upande wa pili ingekuwaje?

playboy babu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
2,648
Reaction score
1,566
Moja ya vitu vinavyofanya ni.kubali Ali Kiba au King Kiba ni kuwa na tabia za kiume..kutoongea sana, kutojionesha nk pamoja na mambo yoooote nashangaa sioni mkizungumzia jamaa kutaka kupewa uraia wa oman pamoja na kujengewa kasri lenye wafanyakaz 30 wataomubudumia maisha yake yote pamoja na kuwa anamlipa dollar 50000/= kila mwezi endapo tu atakubali ombi la mfalme wa Oman la kubadili uraia kutokana na mfalme huyo kukubali na kukoshwa na kipaji cha Ali Kiba baada ya kufuatilia show yake aloifanya huko Oman, ila navyojua suala hili lingekuwa upande wa pili mwezi mzima mitandao yote habari ingekuwa ni hiyo tu..na ndo maana hata mnaposema Kiba hana hela sina shaka coz naamini huenda siku akiamua kusema anavyomiliki kuna watu watapelekwa ICU nakumbuka hata ghorofa ya Tabata mlisema si yake...go on King bt usibadili uraia bwana we still need u..
 
Nguvu kupromoti kitu kilichokwisha jifia.Mwenyewe alishakubali matokeo ila vibaraka wake sasa ndo aibu imewajua.Mshamgeuza shoger kiba sasa ili aliwe na waarabu.
 
Labda oman ya tabata sanene
Moja ya vitu vinavyofanya ni.kubali Ali Kiba au King Kiba ni kuwa na tabia za kiume..kutoongea sana, kutojionesha nk pamoja na mambo yoooote nashangaa sioni mkizungumzia jamaa kutaka kupewa uraia wa oman pamoja na kujengewa kasri lenye wafanyakaz 30 wataomubudumia maisha yake yote pamoja na kuwa anamlipa dollar 50000/= kila mwezi endapo tu atakubali ombi la mfalme wa Oman la kubadili uraia kutokana na mfalme huyo kukubali na kukoshwa na kipaji cha Ali Kiba baada ya kufuatilia show yake aloifanya huko Oman, ila navyojua suala hili lingekuwa upande wa pili mwezi mzima mitandao yote habari ingekuwa ni hiyo tu..na ndo maana hata mnaposema Kiba hana hela sina shaka coz naamini huenda siku akiamua kusema anavyomiliki kuna watu watapelekwa ICU nakumbuka hata ghorofa ya Tabata mlisema si yake...go on King bt usibadili uraia bwana we still need u..View attachment 1114896
 
Ni malezi tu mkuu..wazazi wanachangia sana ukuaji wa mtoto.
Angalia hata comment za humu,utajua tu jinsi watu wanavuozalilisha wazazi wao.
 
Uliandika ukiwa una kunywa ulanzi au?Kichwa cha habari hakieleweki,nyie ndio mnaoshusha hadhi ya Jf kwa threads kama hizi.

Ndio maana mtu anapoumwa tumbo huenda kuharisha chooni.Sasa wewe badala ya kuhara huko kwenye groups zenu za udaku,unaharishia humu.

Unaweza ukawa na hoja lakini uandishi wako umeudhi sana.

Unakuwa kama hujawahi kusoma shule ya msingi Mkuu.

Kama chini uandike vizuri tena tutoe mawazo mujarabuu.
Moja ya vitu vinavyofanya ni.kubali Ali Kiba au King Kiba ni kuwa na tabia za kiume..kutoongea sana, kutojionesha nk pamoja na mambo yoooote nashangaa sioni mkizungumzia jamaa kutaka kupewa uraia wa oman pamoja na kujengewa kasri lenye wafanyakaz 30 wataomubudumia maisha yake yote pamoja na kuwa anamlipa dollar 50000/= kila mwezi endapo tu atakubali ombi la mfalme wa Oman la kubadili uraia kutokana na mfalme huyo kukubali na kukoshwa na kipaji cha Ali Kiba baada ya kufuatilia show yake aloifanya huko Oman, ila navyojua suala hili lingekuwa upande wa pili mwezi mzima mitandao yote habari ingekuwa ni hiyo tu..na ndo maana hata mnaposema Kiba hana hela sina shaka coz naamini huenda siku akiamua kusema anavyomiliki kuna watu watapelekwa ICU nakumbuka hata ghorofa ya Tabata mlisema si yake...go on King bt usibadili uraia bwana we still need u..View attachment 1114896
 
Panicsssssssa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom