Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Ccm inawanyima sana raha wakenya
 
Mizigo more than 60% ya Tanzania inaishia Dar es salaam,
Iyo iliyobaki ni kustruggle tu,
Time will tell,bora CCM wasifiche ukweli vile mmezoea kudanganywa Kila jambo.
Same question i have been asking, if the viability of the Mombasa - Nairobi SGR is in question then the TZ SGR is a ghost white elephant
 
Mizigo more than 60% ya Tanzania inaishia Dar es salaam,
Iyo iliyobaki ni kustruggle tu,
Time will tell,bora CCM wasifiche ukweli vile mmezoea kudanganywa Kila jambo.
Afu siyo lazima Mizigo yote itoke Dar
Vipo vitu vingine Huingia Dar tokea mikoan
Afu Tunajenga kwa Pesa zetu
Hatuna Papala ya kulipia kama nyie
 
Afu siyo lazima Mizigo yote itoke Dar
Vipo vitu vingine Huingia Dar tokea mikoan
Afu Tunajenga kwa Pesa zetu
Hatuna Papala ya kulipia kama nyie
Kichaa kama wewe ndio anaamini kila kitu supreme leader magufuli anasema,wake up Young one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…