Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Nakumbuka nikiwa shule ya msingi, somo la GHC mwalimu alinifunza kutumia nyuzi kupima urefu wa barabara iliyo na corners. Hivi kina geza ulole hawajui kitu cha msingi kama hicho?
SGR nbi to mbsa ni 500km.
Kwanini huku endelea na masomo baada ya kumaliza shule ya msingi?
 
Humu jf bwana Kila mmoja yupo Juu
Hakuna Fukara
Na wote wamesha tembea nje[emoji1] [emoji1]

Ahaaa haaa haaa
Mfano ukiwa namanga ukaenda mpaka kajiado tayari uko nje ya nchi.
 
Nimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki

Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba

Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu
Yaan ww jamaa una kiwango DHAIFU sanaa cha kushawishi watu na kujenga HOJA swala la kuconnect SGR na MGR ni new alternatibe baada ya kukosa MKOPO nikukumbushe UK na RO walipeleka OMBI la mkopo kule china last week wakaambiwa economically iyo root haina faida uki compare na root ya mombasa to nairobi ambapo ili score 70% .. Ss usitape tape hapa maana kunyimwa mkopo sio KOSA
 
Nimesema elimu yako ni fupi kijana.
Nimekupatia distance ya kutoka Mombasa to Malaba Uganda ni 927km. Maana yake urefu wa reli utakuwa zaidi ya 1000km.
Nairobi to Naivasha is 91km
Mombasa to Nairobi is 486km
Huoni kufika Malaba inahitajika nguvu nzito!?

Construction of the 120km Nairobi-Naivasha standard gauge railway (SGR) is 90 percent complete, 16 months after work on the project started. https://www.businessdailyafrica.com...pc-complete/4003122-5032960-v964n9/index.html
 
Yaan ww jamaa una kiwango DHAIFU sanaa cha kushawishi watu na kujenga HOJA swala la kuconnect SGR na MGR ni new alternatibe baada ya kukosa MKOPO nikukumbushe UK na RO walipeleka OMBI la mkopo kule china last week wakaambiwa economically iyo root haina faida uki compare na root ya mombasa to nairobi ambapo ili score 70% .. Ss usitape tape hapa maana kunyimwa mkopo sio KOSA

Naskia kwenu neno dhaifu ni tusi kubwa sana hadi linababaisha bunge na spika wenu, sasa hapo sijui ndio umefika mwisho wa uwezo wako kimawazo.
Tukirudi kwenye hoja, wacha kusoma kimihemko ukikimbilia kujibu, soma uelewe kwanza ndio ujibu.
Mchina aligoma kutoa mkopo kwa ajili ya masharti ya rais Uhuru, na hili halijaanza kujadiliwa juzi, tangu hapo awali Uhuru alishamuomba Mchina alegeze na kutoa riba kwenye nusu ya mkopo na nusu ya pili iwe ruzuku maana SGR inaunga kwenye mkanda wa Road and Belt ya Mchina ambayo kufikia sasa amekusanya bilioni $50 kwa ajili ya ujenzi wake, hizo hela anakusudia kuzitumia kugharamia miundo mbinu yote itakayounga kwenye huo mkanda.
Hili liliwahi kufunguliwa uzi humu na likajadiliwa https://www.jamiiforums.com/threads/uhuru-wants-china-to-fund-half-of-sgr-for-free.1478414/
 
Nimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki

Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba

Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu
Mkuu ccm wasikuumize akili, bora mchina achukue kuliko huyu jiwe wetu ametumia pesa zetu za mafao kwenye ujenzi usio na mbele wala nyuma halafu sasa wastaafu wanahangaishwa
 
Yaan ww jamaa una kiwango DHAIFU sanaa cha kushawishi watu na kujenga HOJA swala la kuconnect SGR na MGR ni new alternatibe baada ya kukosa MKOPO nikukumbushe UK na RO walipeleka OMBI la mkopo kule china last week wakaambiwa economically iyo root haina faida uki compare na root ya mombasa to nairobi ambapo ili score 70% .. Ss usitape tape hapa maana kunyimwa mkopo sio KOSA
Route ya Dar - morogoro faida iko?
 
tuusan has gone rogue recently sijui ama ni account imekuwa hacked ama alianguka kichwa kikagongwa kiasi akapoteza fahamu
 
Nimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki

Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba

Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu
MaCCM ni mang'ombe.
 
Haijalishi labda muyazingire kwa ukuta, Wachina ni zaidi ya bilioni moja, hivyo maparachichi yetu hayatatosha, itatubidi kukusanya na ya TanzaGanda.

Ahaaa haaa haaa
Duu angalau sasa unaanza hata kuongea. Maana wikend ulikuwa hoi baada ya kusikia taarifa za kupigwa chini SGR pact na kuambiwa nendeni mkalete MAPARACHICHI tutanunua halafu mtapata hela ya kujenga SGR.
Teh teh teh tihiii
WaChina AKILI zao sometimes ni shidaa.
 
Route ya Dar - morogoro faida iko?
We na ww ni tayo kweli ...kwan SGR ya tz ina ishia Moro ? Ss iv wa turkey wapo makutubora ss we unasemeaje moro ? Au hujui lengo la SGR ya tz mzee mbaba tukusaidie
 
Construction of the 120km Nairobi-Naivasha standard gauge railway (SGR) is 90 percent complete, 16 months after work on the project started. https://www.businessdailyafrica.com...pc-complete/4003122-5032960-v964n9/index.html
Kweli wewe ni mbumbumbu. Umbali kutoka Nairobi to Naivasha ni 91 km. Dar to Chalinze 100km
Reli ikijengwa inakuwa na mzunguko.
So distance mliyo maliza ni 91km from Nairobi.
Naivasha to Malaba is 349km.
So reli mkianza kujenga itakuwa zaidi ya 500km.
Au na hapo huelewi!?
 
wacha kutulisha matango pori. miaka minne ndio sasa munafika 50% kisha baada ya miezi sita inayokuja (Nov) mutakua munapokea nini wakati miaka minne sasa hamuelewekieleweki
Wewe Ndio wanaokula Mapango pori. rejea jiwe msingi liliwekwa lini? Na JPM alishika uingozi lini. Ukumbuke, Kwanza Tanzania walianza mazungumuzo na wachina wakashindwana tangu 2016/17 Ndipo waliamua Tanzania wajenge Kwa pesa za ndani. Ndipo waliamua wakened Kwa kutumia waturuki. Wakwanza kujenga RELI 2018. Kwa Sasa Wapo 52%
 
Utaijenga SGR ipi isiyo pitia Morogoro
Faida sio lazima leo au uishuhudie wewe kwa wakati wako
Hakuna Reli itakayo toka Dar isipitie Morogoro

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app

Ya Tanga na Arusha imechepua pale Pugu, sio lazima Moro kwa Waluguru.
 
Back
Top Bottom