Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Hili la mkopo wa SGR hebu tuwekane sawa na MaCCM maana naona nyie ndio mumeumia sana

Tell them maana macho yao yamezoea story za kutunga na kuona bad news, wanajuaga sijui chuki chuki zao zitavuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wa Tanzania maendeleo kila kona, JPM akienda mahali lazima vitu vitatu vitokee kwa mpigo kuzindua kiwanda, hospitals, barabara kila mkoa kila wilaya, so far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa barabara za lami zenye viwango

JPM 2020 wala hana muda wa kupanda jukwaani

Nakumbuka nikiwa shule ya msingi, somo la GHC mwalimu alinifunza kutumia nyuzi kupima urefu wa barabara iliyo na corners. Hivi kina geza ulole hawajui kitu cha msingi kama hicho?
SGR nbi to mbsa ni 500km.
Jipange urudi tena
 
Yani magu ameshindwa kabisa na km200 hadi morogoro na vile mnapiga kelele kila siku. tuusan weka aeriel view ya hiyo 50% complete ama ukubali hiyo ni kiki tu.
 
Jamaa wamepanic
kinacho nishangaza et Kanyimwa SGR ila Kapewa yakukarabati Kitu cha mkoloni
Yaani hadi chamkoloni Unaomba!!
Mnauchumi gani
Magu anajenga SGR ya umeme Kesh pesa yetu yabila mkopo
Pia anarekebisha Njia ya Mkoloni Bila taabu
Jamaa hawana uwezo wa Kujenga hata 1Km kwa pesa yao!!
😁😁😁😁 Taifa fukara na mufilisi kama Kenya halina uwezo hata wa kukwangua kutu kwenye rail ya mkoloni kwa pesa zake lenyewe, juzi JPM katoa down payments ya hundreds of millions of USD almost 800 billion kwa mkandarasi wa stiglierz pesa ya ndani hiyo

Wao wamebebana Ikulu yote na upinzani wote kwenda China kulilia vijipesa vya kufufua rail ya mkoloni, kweli hii dharau ya karne
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Taifa fukara na mufilisi kama Kenya halina uwezo hata wa kukwangua kutu kwenye rail ya mkoloni kwa pesa zake lenyewe, juzi JPM katoa down payments ya hundreds of millions of USD almost 800 billion kwa mkandarasi wa stiglierz pesa ya ndani hiyo

Wao wamebebana Ikulu yote na upinzani wote kwenda China kulilia vijipesa vya kufufua rail ya mkoloni, kweli hii dharau ya karne
Sie vijana wapo kazini Kufufua Reli ya Mkoloni ya kati na ile ya Tanga na wala hatuna taabu
Vidume na Milingoti yao Wima kwa mwanaume mwenzie kuomba Dunia Gunia
 
Tell them maana macho yao yamezoea story za kutunga na kuona bad news, wanajuaga sijui chuki chuki zao zitavuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Mbona wataelewa show
 
😁😁😁😁 Taifa fukara na mufilisi kama Kenya halina uwezo hata wa kukwangua kutu kwenye rail ya mkoloni kwa pesa zake lenyewe, juzi JPM katoa down payments ya hundreds of millions of USD almost 800 billion kwa mkandarasi wa stiglierz pesa ya ndani hiyo

Wao wamebebana Ikulu yote na upinzani wote kwenda China kulilia vijipesa vya kufufua rail ya mkoloni, kweli hii dharau ya karne

Sasa Dangagiza sijui tutaliitaje. LIINCHI masikini kuliko Haiti. Ptaah
 
Sie vijana wapo kazini Kufufua Reli ya Mkoloni ya kati na ile ya Tanga na wala hatuna taabu
Vidume na Milingoti yao Wima kwa mwanaume mwenzie kuomba Dunia Gunia
😂😂😂😂 Hawajui kama tumefufua mpaka rail ya Uganda kwa pesa yetu wenyewe wala sio deni, kipande cha kutoka port bell mpaka Kampala almost 30 kilometres ni serikali ya Tanzania ndio imekitengeneza kwa pesa yake, hilo walijue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawajui kama tumefufua mpaka rail ya Uganda kwa pesa yetu wenyewe wala sio deni, kipande cha kutoka port bell mpaka Kampala almost 30 kilometres ni serikali ya Tanzania ndio imekitengeneza kwa pesa yake, hilo walijue
Huwa nawaeleza Uchumi wao Wakenya upo kwenye makaratasi
 
Eti Wakenya Wakikaa wakitazama wanaona Wametangulia Mbele ya Tanzania
hahaha!!
tapatalk_1556562536952.jpeg

Kweli Mungu na Watanzania
Shetani na Wakenya
 
Back
Top Bottom