babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Tell them maana macho yao yamezoea story za kutunga na kuona bad news, wanajuaga sijui chuki chuki zao zitavuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wa Tanzania maendeleo kila kona, JPM akienda mahali lazima vitu vitatu vitokee kwa mpigo kuzindua kiwanda, hospitals, barabara kila mkoa kila wilaya, so far Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa barabara za lami zenye viwango
JPM 2020 wala hana muda wa kupanda jukwaani