Hili la mlinzi wa Rais kutembea mguu nje ikoje?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje, kutembea mguu mmoja ukiwa nje ya kiatu.
IMG_20220528_104741.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
 
Huo mguu unaona mbele hadi Km 100, ni zaidi ya binocular, pia unaona siraha, mabomu, hadi mawazo ya mtu akitaka kumshambulia raisi anaonekana na kushikwa chap.

Nadhani utakuwa umeridhika, au niongezee
 
Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje.
View attachment 2241981

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
Mkuu hapo hamna cha mie mkristo siingii msikitin...

Maana kuna baadhi ya hao watu watakuwa ni wa roma hapo
 
Nadhani huyo ni mlinzi ambaye huwa anaingia nae Hadi ndani msikitini wakati wa swala
 
Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje.
View attachment 2241981

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
Walinzi ni hao huko nyuma hao wengine ni wapambe.
 
Back
Top Bottom