TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #41
Kuna wakati unaweza kumheshimu mtu usiyemfaham kulingana na anavyo_apply agenda zake, ole nasema ole wake siku afungue mdomo kuongea, unaweza usiage ukaAct unaenda msalani kutokana na aibu!.Huo mrejesho atauleta akiwa India hospitali mana kipigo chake hakina tiba nchini.