Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHuo mrejesho atauleta akiwa India hospitali mana kipigo chake hakina tiba nchini.
Acha hizo mkuu, mpaka umenirudisha kuangalia picha upyaKwanza huyo sio mwanamke....
Achen kurudisha nyuma kuangalia pichaAngalieni vizuri huo mkono wa mlinzi
Propaganda za Nyerere era. Eti Tz ilikuwa ya tatu kwa ujasusi nyuma ya USA na CubaHuo mguu unaona mbele hadi Km 100, ni zaidi ya binocular, pia unaona siraha, mabomu, hadi mawazo ya mtu akitaka kumshambulia raisi anaonekana na kushikwa chap.
Nadhani utakuwa umeridhika, au niongezee
Nashangaa wewe umeuliza kiatu ila majibu sasa! Mara rusha jiwe blah blahIssue ni uvaaji wa kiatu.
Licha ya hivyo amechomoa mguu na kukikanyagia hapo ndipo point ya mtoa mada ilipoAisee wadau mnachunguza.
Ila ni kama haijakaa poa, sijawahi kuona mlinzi wa raisi kavaa hivyo vinaitwa vibajaji sijui ni sawa yuko peku tu hapo.
Ndo tushaaminishwa analindwa sana, eti hata ukiwaza tu kumshambulia unadakwa 😂😂😂, aiseee.
Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje, kutembea mguu mmoja ukiwa nje ya kiatu.
View attachment 2241981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
Hili jibu zuri sanaKwani mlinzi ni yeye peke yake tu hapo?
Kama vipi jaribu kuingilia huo msafara kisha uje hapa ufungue thd ya kuleta mrejesho.