Kuna wakati unaweza kumheshimu mtu usiyemfaham kulingana na anavyo_apply agenda zake, ole nasema ole wake siku afungue mdomo kuongea, unaweza usiage ukaAct unaenda msalani kutokana na aibu!.Huo mrejesho atauleta akiwa India hospitali mana kipigo chake hakina tiba nchini.
🥒 Kalia.Kuna wakati unaweza kumheshimu mtu usiyemfaham kulingana na anavyo_apply agenda zake, ole nasema ole wake siku afungue mdomo kuongea, unaweza usiage ukaAct unaenda msalani kutokana na haibu!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]Huo mguu unaona mbele hadi Km 100, ni zaidi ya binocular, pia unaona siraha, mabomu, hadi mawazo ya mtu akitaka kumshambulia raisi anaonekana na kushikwa chap.
Nadhani utakuwa umeridhika, au niongezee
Anayelindwa mwenyewe anasemaje?Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje, kutembea mguu mmoja ukiwa nje ya kiatu.
View attachment 2241981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
Mkuu waulize Wapendwa.Wapi umeshindwa kufungua code mkuu?
Haibu is the key word.Kuna wakati unaweza kumheshimu mtu usiyemfaham kulingana na anavyo_apply agenda zake, ole nasema ole wake siku afungue mdomo kuongea, unaweza usiage ukaAct unaenda msalani kutokana na haibu!.
Labda ni maelekezo ya kwenye Roho Tua ili kuvutia watalii.Wataalam wa masuala ya ulinzi wa Rais hii kitu nimeona niilete tuone imekaaje, kutembea mguu mmoja ukiwa nje ya kiatu.
View attachment 2241981
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alihudhulia ibada ya Ijumaa katika msikiti mkuu wa Bakwata Kinondoni jijini Dar es Salaam hapo jana.
Bila shaka.mbona hamhoji kama ushungi aliovaa haukumzuia kuona 180°,hiyo kiatu B kwa ajiri ya kuvua fasta kuingia mosque na kuivaa fasta wakati wa kutoka,baada ya kuingia ktk gari kuna kiatu rasmi.
tuache majungu.