Hili la NBC Je Huu si Udini Jamani?

Hili la NBC Je Huu si Udini Jamani?

Wandugu; Iligundulika na kutambulika Islamic Banking ilipo savivu mwaka 2008/2009/2010 palipotokea Financial crisis ulimwenguni(Poromoko na mgogoro wa Rasilimali) kwakuwa Isl-banking hutumia mfumo HALALI wa "murabaha'na open transperncey schemes Mbadala wa kibiashara bila kutegemea Riba(interest) hayo yaliProve kuihami na kuilinda msingi wa Rasilimali. Hapo ndipo western banks wakakubali na kuridhika kuwa kuna USALAMA wa mfumo huo. zaidi pita NBC upate majibu.

Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!
 
Wakeisto huwa hatuna tatizo myB ingekuwa ni sisi tumepewa iyo Promo nadhani ingekuwa tatizo...!!!
 
Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!
Nakupa respect Mh.cyberTeq, hakuna benki inayopata hasara isipokuwa nadra sana.kama hujaridhishwa na NBC. ipo Benki pale Lumumba st karibu na "saba" opposite mnazi mmoja hapo ipo originao islamic banking Br. bora ukawaone au uende Uarabuni zipo FINANCIAL INSTITUTES nyingi hutoa mikopo bila RIBA..
Nasikitika wewe kusema Waisilamu wanavyotumia na kufaidika na "christian banking" hiyo si sahihi baadhi yao hawachukui faida za RIBA. FYI BENKi ni mfumo wa KIYAHUDI hapo hafaidiki mtu kwakuwa masharti yake hukukandamiza na kuwa unalipa kuliko ulichonufaika nacho.
kuhusu kina SSB hiyo amechaguliwa na AL-RAZAAK gracious. Fedha zake ndiyo zinazoendesha MaBenki na kuendeleza ajira, kujenga miundombnu, nk.
Blessings
 
Ww Uliyeleta hii thread una lako jambo... huduma ya islam banking inaendeshwa kwa mfumo wa SHARIA(taratibu za kiislamu)... na wateja wako huru kujiunga au la.

ina maana kuanzisha huduma za kibenki kwa watoto, je huo nao ni UTOTO???

PEVUKA AKILI ndugu

Safi sana nadhan kaelewa
 
Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!

Mkuu kwa ufahamu wangu hafifu ni kuwa huu mfumo wa ISLAMIC BANKING hauruhusu kupata mkopo wa fedha badala yake ni mkopo wa assets!Let's say wewe unataka mkopo wa nyumba wao watakujengea nyumba lakini hela watakayokutozwa itajumuisha na kiasi chao kwa kukufanyia huduma hiyo na hiyo ndiyo faida wanayoipata. In terms of Accounts hiyo ni kweli kuwa hauongezewi riba ya aina yoyote kama ukiweka mil 1 hata baada ya miaka 100 utaikuta hiyo hiyo na hiyo ni faida kwao maana wataizungusha kufanya shughuli zao na faida juu wakati hela yako itakuwa ni ile ile. Kwa ufupi huo ndiyo mfumo wanaoutumia ISLAMIC BANKING.
 
hapo mwisho wa maelezo yako ndio umesomeka ! ni shida yako imejulikana !
kumbe ulikuwa unataka viashiria vya kikatolikikatoliki hivii !

Sikutaka kuchangia huu uzi lkn baada ya kusoma comment zako na kwakuwa nakujuwa wewe na mkomatembo mlivyo na udini humu jukwaani na mnavyojifanya hamuelewi hata vinavyopaswa kueleweka na mtoto wa chekechea nimelazimika kuchangia. Ona mwenzako kusikia KKKT wmepewa mkopo keshaanza kutoa povu eti CRDB ni ya wakatoliki ndiyo maana imetoa mkopo kwa wakatoliki (Inaonesha pia ukatoliki unavyowanyika usingizi....ona hata comment yako hapa)....Akili nyingine ni hasara tu bora kutokuwa nazo ukajulikana tukakupeleka mirembe kuliko kuishi uraiani na kichaa halafu tukadhani tuna mtu mzima...

Back to the topic...Huwa najaribu kuassume kama NBC ingekuwa na product ya Christianity banking or catholic whatever....hayo maandamano na kuhamasishana kuwa waislamu ondoeni fedha zenu kwenye benki ya kikafiri tusingekunywa maji mtaani...Kina Ponda wangetembea uchi barbarani haswa ukizingatia NBC partly iko owned na Serikali so, kodi za wote zinahusika...ila kwakuwa ni islamic banking hapo hakuna tatizo...taratibuuuu...kama unanawa...Sawa Ustaadhi Ally Kombo na mkomatembo mmesomeka...Kuku siku zote huwa anakunya isipokuwa bata huwa anaharisha. Kwa asiyewajuwa kama kina Grace Komba watawatetea sana na kuona kuwa MzalendoHalisi ameanzisha huu uzi kuleta uchochezi lakini kwa sisi tunaowajuwa na the way mlivyo sensitive na neno kuonewa, upendeleo nakuapia benki inayomilikiwa (Partly) na umma ikianza kitu cha namna hii kwa wakristu msineweza kuvumilia na kuichukulia positively kama mnavyotaka tuwaone hapa.... Mkopo tu tayari mapovu sembuse product??
 
Hahahaaa....haya mkuu, ngoja wenyewe waje. Sisi wapagani ngoja tunyamae!
 
"Enyi Mlio Amini (Waislaam) ! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.

Na msipofanya (kuacha kula riba) (basi) jitangazieni vita na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mkitubu (na kuacha), basi haki yenu ni rasimali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.

Quran:2: 278-279.

"Enyi Mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Quran:3: 130.

Nimekuwekea hizo aya ili ujue Msingi wa Islamic Banking. Sisi Waislaam haturuhusiwi kula riba !
Hivyo mfumo wa Islamic Banking unaweka mbali kati ya biashara na riba !
\mfumo huu umethibitishwa na Bank nyingi Duniani kuwa ni mfumo mzuri na ni fair !
Hivyo upo Ulaya yote, Asia hadi China na Japan.

Mleta mada alikerwa na kuona Uislaam unahusishwa ndani ya Bank bila kutaka kujua hili jambo ni nini !
Mara nyinyi mnakurupuka kama mlivyo kurupuka kwenye suala la uchinjaji mkidai ni ibada ya Kiislaam, bila kujua ibada ina maanisha nini katika Uislaam.
Katika Uislaam kusalimiana na hata kuishi na jirani yako vizuri pia ni ibada katika Uislaam.

Sasa kikowapi katika kuchinja ? mbona hatuoni hizo Butcher za Kikiristo ?..........mmeshindwa kwa kuwa mmekurupuka na hamna huo utaratibu wa kuchinja !

Uislaam umekamilika kila nyanja, ......hata Makafiri mkinuna !
 
Ngoja miislamu ije itoke povu hapa.....,nasubiri
 
hapo mwisho wa maelezo yako ndio umesomeka ! ni shida yako imejulikana !
kumbe ulikuwa unataka viashiria vya kikatolikikatoliki hivii !
Hujamuelewa, alikuwa anataka na waislamu waanzishe benki zao ili haya yakifanyika yasiwe na maswali. Nakuhakikishia, baada ya muda mtaanza kulalamikia uwingi wa mabenki ya wakristu kama mnavyolalama vyuo vikuu 17 dhidi ya kimoja
 
"Enyi Mlio Amini (Waislaam) ! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.

Na msipofanya (kuacha kula riba) (basi) jitangazieni vita na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mkitubu (na kuacha), basi haki yenu ni rasimali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.

Quran:2: 278-279.

"Enyi Mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Quran:3: 130.

Nimekuwekea hizo aya ili ujue Msingi wa Islamic Banking. Sisi Waislaam haturuhusiwi kula riba !
Hivyo mfumo wa Islamic Banking unaweka mbali kati ya biashara na riba !
\mfumo huu umethibitishwa na Bank nyingi Duniani kuwa ni mfumo mzuri na ni fair !
Hivyo upo Ulaya yote, Asia hadi China na Japan.

Mleta mada alikerwa na kuona Uislaam unahusishwa ndani ya Bank bila kutaka kujua hili jambo ni nini !
Mara nyinyi mnakurupuka kama mlivyo kurupuka kwenye suala la uchinjaji mkidai ni ibada ya Kiislaam, bila kujua ibada ina maanisha nini katika Uislaam.
Katika Uislaam kusalimiana na hata kuishi na jirani yako vizuri pia ni ibada katika Uislaam.

Sasa kikowapi katika kuchinja ? mbona hatuoni hizo Butcher za Kikiristo ?..........mmeshindwa kwa kuwa mmekurupuka na hamna huo utaratibu wa kuchinja !

Uislaam umekamilika kila nyanja, ......hata Makafiri mkinuna !
Taarifa rasmi.... ukija kwangu jua kama kuna nyama nimechinja mwenyewe....
 
Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!

"..............Hayo ni kwakuwa (Wasio amini !) wamesema: Biashara ni kama riba. Lakini Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na ameiharamisha riba.

Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka.

Quran: 2:275-276.

Ukiwa na Mil 150 na una tenda ya Mil 250, Bank inakuongeza Mil 100 kwa makubaliyano ya kuwa wao ndio watafanya procurement na ku supply. Faida uliyoweka (Margin) utakubaliana na Bank wao wanachukuwa ngapi na wewe ngapi.
Ila katika hiyo tenda ikitokea bahati mbaya, pesa zote zikapotea, basi Bank imepoteza Mil 100 na wewe umepoteza Mil 150. ! Hadaiwi mtu wala hakuna kuuziana nyumba !
Huo ndo Uislaam bana !
 
"Enyi Mlio Amini (Waislaam) ! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.

Na msipofanya (kuacha kula riba) (basi) jitangazieni vita na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mkitubu (na kuacha), basi haki yenu ni rasimali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.

Quran:2: 278-279.

"Enyi Mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

Quran:3: 130.

Nimekuwekea hizo aya ili ujue Msingi wa Islamic Banking. Sisi Waislaam haturuhusiwi kula riba !
Hivyo mfumo wa Islamic Banking unaweka mbali kati ya biashara na riba !
\mfumo huu umethibitishwa na Bank nyingi Duniani kuwa ni mfumo mzuri na ni fair !
Hivyo upo Ulaya yote, Asia hadi China na Japan.

Mleta mada alikerwa na kuona Uislaam unahusishwa ndani ya Bank bila kutaka kujua hili jambo ni nini !
Mara nyinyi mnakurupuka kama mlivyo kurupuka kwenye suala la uchinjaji mkidai ni ibada ya Kiislaam, bila kujua ibada ina maanisha nini katika Uislaam.
Katika Uislaam kusalimiana na hata kuishi na jirani yako vizuri pia ni ibada katika Uislaam.

Sasa kikowapi katika kuchinja ? mbona hatuoni hizo Butcher za Kikiristo ?..........mmeshindwa kwa kuwa mmekurupuka na hamna huo utaratibu wa kuchinja !

Uislaam umekamilika kila nyanja, ......hata Makafiri mkinuna !

After all vitu vya kupanga mezani havina budi kukamilishwa kila nyanja.

Kwakuwa wapo waislamu wenye akili timamu na wenye kuujuwa uislamu na ambao tunaheshimiana nao sana tu nitakuacha kama ulivyo ili nisijekuwatusi na wao pia.
 
Hujamuelewa, alikuwa anataka na waislamu waanzishe benki zao ili haya yakifanyika yasiwe na maswali. Nakuhakikishia, baada ya muda mtaanza kulalamikia uwingi wa mabenki ya wakristu kama mnavyolalama vyuo vikuu 17 dhidi ya kimoja

...........hayo ni mawazo yako, ...hapa mnao lalamika ni nyie, hamtaki kuona au kusikia Uislaam unatajwa tajwa ! ....hicho tu !.........Mabenki ya Kigalatia hayatuumizi vichwa wala nini na Mwenyezi Mungu ametukataza tusitie mguu huko, badili yake wenye akili zao wanakimbilia Mabenki yasio na dhulma wala riba - Islamic Banking !
 
After all vitu vya kupanga mezani havina budi kukamilishwa kila nyanja.

Kwakuwa wapo waislamu wenye akili timamu na wenye kuujuwa uislamu na ambao tunaheshimiana nao sana tu nitakuacha kama ulivyo ili nisijekuwatusi na wao pia.

.........sasa u mtusi nani kama si ukweli unakuumiza !.........wewe kuna mtu kakutusi ?

Uislaam raha bana !
 
Kwa hiyo wateja wote wenye interest na hiyo huduma INABIDI WAKACHUKUE PHD KWANZA NDIYO WAIELEWE?!!!!!

maana yangu, si rahisi kuelezwa juu juu ukaelewa !............ila nimekupa mfano hapo juu ili kukusaidia !
 
Back
Top Bottom