CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,067
hili ni somo la kuchukua PhD ndugu yangu ! ......si kidogo kama unavyo fikiri !
Kwa hiyo wateja wote wenye interest na hiyo huduma INABIDI WAKACHUKUE PHD KWANZA NDIYO WAIELEWE?!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili ni somo la kuchukua PhD ndugu yangu ! ......si kidogo kama unavyo fikiri !
Wandugu; Iligundulika na kutambulika Islamic Banking ilipo savivu mwaka 2008/2009/2010 palipotokea Financial crisis ulimwenguni(Poromoko na mgogoro wa Rasilimali) kwakuwa Isl-banking hutumia mfumo HALALI wa "murabaha'na open transperncey schemes Mbadala wa kibiashara bila kutegemea Riba(interest) hayo yaliProve kuihami na kuilinda msingi wa Rasilimali. Hapo ndipo western banks wakakubali na kuridhika kuwa kuna USALAMA wa mfumo huo. zaidi pita NBC upate majibu.
Nakupa respect Mh.cyberTeq, hakuna benki inayopata hasara isipokuwa nadra sana.kama hujaridhishwa na NBC. ipo Benki pale Lumumba st karibu na "saba" opposite mnazi mmoja hapo ipo originao islamic banking Br. bora ukawaone au uende Uarabuni zipo FINANCIAL INSTITUTES nyingi hutoa mikopo bila RIBA..Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!
Ww Uliyeleta hii thread una lako jambo... huduma ya islam banking inaendeshwa kwa mfumo wa SHARIA(taratibu za kiislamu)... na wateja wako huru kujiunga au la.
ina maana kuanzisha huduma za kibenki kwa watoto, je huo nao ni UTOTO???
PEVUKA AKILI ndugu
Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!
hapo mwisho wa maelezo yako ndio umesomeka ! ni shida yako imejulikana !
kumbe ulikuwa unataka viashiria vya kikatolikikatoliki hivii !
Sikutaka kuchangia huu uzi lkn baada ya kusoma comment zako na kwakuwa nakujuwa wewe na mkomatembo mlivyo na udini humu jukwaani na mnavyojifanya hamuelewi hata vinavyopaswa kueleweka na mtoto wa chekechea nimelazimika kuchangia. Ona mwenzako kusikia KKKT wmepewa mkopo keshaanza kutoa povu eti CRDB ni ya wakatoliki ndiyo maana imetoa mkopo kwa wakatoliki (Inaonesha pia ukatoliki unavyowanyika usingizi....ona hata comment yako hapa)....Akili nyingine ni hasara tu bora kutokuwa nazo ukajulikana tukakupeleka mirembe kuliko kuishi uraiani na kichaa halafu tukadhani tuna mtu mzima...
Back to the topic...Huwa najaribu kuassume kama NBC ingekuwa na product ya Christianity banking or catholic whatever....hayo maandamano na kuhamasishana kuwa waislamu ondoeni fedha zenu kwenye benki ya kikafiri tusingekunywa maji mtaani...Kina Ponda wangetembea uchi barbarani haswa ukizingatia NBC partly iko owned na Serikali so, kodi za wote zinahusika...ila kwakuwa ni islamic banking hapo hakuna tatizo...taratibuuuu...kama unanawa...Sawa Ustaadhi Ally Kombo na mkomatembo mmesomeka...Kuku siku zote huwa anakunya isipokuwa bata huwa anaharisha. Kwa asiyewajuwa kama kina Grace Komba watawatetea sana na kuona kuwa MzalendoHalisi ameanzisha huu uzi kuleta uchochezi lakini kwa sisi tunaowajuwa na the way mlivyo sensitive na neno kuonewa, upendeleo nakuapia benki inayomilikiwa (Partly) na umma ikianza kitu cha namna hii kwa wakristu msineweza kuvumilia na kuichukulia positively kama mnavyotaka tuwaone hapa.... Mkopo tu tayari mapovu sembuse product??

Hujamuelewa, alikuwa anataka na waislamu waanzishe benki zao ili haya yakifanyika yasiwe na maswali. Nakuhakikishia, baada ya muda mtaanza kulalamikia uwingi wa mabenki ya wakristu kama mnavyolalama vyuo vikuu 17 dhidi ya kimojahapo mwisho wa maelezo yako ndio umesomeka ! ni shida yako imejulikana !
kumbe ulikuwa unataka viashiria vya kikatolikikatoliki hivii !
Taarifa rasmi.... ukija kwangu jua kama kuna nyama nimechinja mwenyewe...."Enyi Mlio Amini (Waislaam) ! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.
Na msipofanya (kuacha kula riba) (basi) jitangazieni vita na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mkitubu (na kuacha), basi haki yenu ni rasimali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.
Quran:2: 278-279.
"Enyi Mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.
Quran:3: 130.
Nimekuwekea hizo aya ili ujue Msingi wa Islamic Banking. Sisi Waislaam haturuhusiwi kula riba !
Hivyo mfumo wa Islamic Banking unaweka mbali kati ya biashara na riba !
\mfumo huu umethibitishwa na Bank nyingi Duniani kuwa ni mfumo mzuri na ni fair !
Hivyo upo Ulaya yote, Asia hadi China na Japan.
Mleta mada alikerwa na kuona Uislaam unahusishwa ndani ya Bank bila kutaka kujua hili jambo ni nini !
Mara nyinyi mnakurupuka kama mlivyo kurupuka kwenye suala la uchinjaji mkidai ni ibada ya Kiislaam, bila kujua ibada ina maanisha nini katika Uislaam.
Katika Uislaam kusalimiana na hata kuishi na jirani yako vizuri pia ni ibada katika Uislaam.
Sasa kikowapi katika kuchinja ? mbona hatuoni hizo Butcher za Kikiristo ?..........mmeshindwa kwa kuwa mmekurupuka na hamna huo utaratibu wa kuchinja !
Uislaam umekamilika kila nyanja, ......hata Makafiri mkinuna !
Nashukuru Mkuu kwa ufafanuzi wako, unajua najiuliza maswali mengi sana labda kwa sababu sijapata mtu wa kunieleza kwa uwazi hii kitu. Nilienda NBC Songea Br. lakini maelezo niliyopata ni ya juujuu mno! Maswali ni mengi mno kuliko majibu, Hivi kweli wanaweza kunikopesha 150M bila riba? Wao watapata faida gani kwa biashara hiyo?...ni maswali mengi sana wakuu ambayo najihoji kichwani. Tuachane na maswala ya udini, kama huduma ya Islamic Banking ni nzuri basi tutupie fursa hiyo hata sisi wakristo kufaidika nayo, kama vile waislam wanavyotumia na kufaidika na "Christian Banking". Huenda ndiyo maana wakina SSB wanaendelea sana na kujenga viwanda kila kukicha, na ile ziada wanaigawa kwa maskini!
Taarifa rasmi.... ukija kwangu jua kama kuna nyama nimechinja mwenyewe....
"Enyi Mlio Amini (Waislaam) ! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini.
Na msipofanya (kuacha kula riba) (basi) jitangazieni vita na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mkitubu (na kuacha), basi haki yenu ni rasimali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe.
Quran:2: 278-279.
"Enyi Mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.
Quran:3: 130.
Nimekuwekea hizo aya ili ujue Msingi wa Islamic Banking. Sisi Waislaam haturuhusiwi kula riba !
Hivyo mfumo wa Islamic Banking unaweka mbali kati ya biashara na riba !
\mfumo huu umethibitishwa na Bank nyingi Duniani kuwa ni mfumo mzuri na ni fair !
Hivyo upo Ulaya yote, Asia hadi China na Japan.
Mleta mada alikerwa na kuona Uislaam unahusishwa ndani ya Bank bila kutaka kujua hili jambo ni nini !
Mara nyinyi mnakurupuka kama mlivyo kurupuka kwenye suala la uchinjaji mkidai ni ibada ya Kiislaam, bila kujua ibada ina maanisha nini katika Uislaam.
Katika Uislaam kusalimiana na hata kuishi na jirani yako vizuri pia ni ibada katika Uislaam.
Sasa kikowapi katika kuchinja ? mbona hatuoni hizo Butcher za Kikiristo ?..........mmeshindwa kwa kuwa mmekurupuka na hamna huo utaratibu wa kuchinja !
Uislaam umekamilika kila nyanja, ......hata Makafiri mkinuna !
Hujamuelewa, alikuwa anataka na waislamu waanzishe benki zao ili haya yakifanyika yasiwe na maswali. Nakuhakikishia, baada ya muda mtaanza kulalamikia uwingi wa mabenki ya wakristu kama mnavyolalama vyuo vikuu 17 dhidi ya kimoja
After all vitu vya kupanga mezani havina budi kukamilishwa kila nyanja.
Kwakuwa wapo waislamu wenye akili timamu na wenye kuujuwa uislamu na ambao tunaheshimiana nao sana tu nitakuacha kama ulivyo ili nisijekuwatusi na wao pia.
Kwa hiyo wateja wote wenye interest na hiyo huduma INABIDI WAKACHUKUE PHD KWANZA NDIYO WAIELEWE?!!!!!
Ngoja miislamu ije itoke povu hapa.....,nasubiri