Hili la Okrah na Dejan, Juma Ulifanyie Kazi

Wachezaji wanaoongoza kwa uchoyo na kujijali wao wenyewe pale Simba Sc ni Sakho, Panda na Okrah, level ya uchoyo na UMIMI kwa hao jamaa ni kubwa sana.

Hii kitu ifanyiwe kazi. Na roho mbaya ni mbaya maan mwisho wa siku watakuwa wanaomba timu ifungwe Tu Ikiwa ni sehemu ya kukomoana.

Ila mtanisamehe Hii ni shida sana ya watu WAFUPI . Watu wafupi hii jamii ni shida sana. Hata kwenye maisha ya kawaida .they are always like that nimesha observe sana hii kitu

I am sorry for my language but I think kuna kaukweli. Ndio maana USA hawataki Rais Mfupi, they also focus na height za marais .
It matters sana.
Mbaya sana.
 
Kwahiyo wachezaji kutokua na nidhamu ndiyo inafanya kua timu ndogo? Yani ukishakua shabiki wa Simba au Yanga kuna kitu kinapungua kwenye uwezo wa kufikiria (unakua mpumbavu fulani hivi).

Attention to details. Small things matter a lot kama ulikuwa hujui. Simba is just under dog [emoji240]. Il inatumia media kulazimisha ukubwa
 
Nina wasiwasi kama watakuelewa kupitia hili somo muhimu kwao!
 
Simba ni wahuni kama Baba yao Mo. mm nashanga wanapojita timu Kubwa
Timu kubwa my foot .... wachezaji hawana descipline
Jifunze Kiingereza kwanza, kama hujui andika tuu Kiswahili
 
Hii ni nguvu kubwa kuliko tukio
 
Kwahiyo wachezaji kutokua na nidhamu ndiyo inafanya kua timu ndogo? Yani ukishakua shabiki wa Simba au Yanga kuna kitu kinapungua kwenye uwezo wa kufikiria (unakua mpumbavu fulani hivi).
Kwanza kubishana Wachezaji ni ukosefu wa nidhamu?
Sadio Mane alimlalamikia vibaya vinaya Mohammed Salah baad ya kunyimwa pasi hadi akapoozwa na Kocha wao Jurgen Klopp. Kama Mane na Salah ambao ni true professionals wanadaiwa kutokuwa na nidhamu kwa tafsiri yenu, itakuwaje kwa wa kwetu?
 
Kwahiyo wachezaji kutokua na nidhamu ndiyo inafanya kua timu ndogo? Yani ukishakua shabiki wa Simba au Yanga kuna kitu kinapungua kwenye uwezo wa kufikiria (unakua mpumbavu fulani hivi).
Kwanza kubishana Wachezaji ni ukosefu wa nidhamu?

Sadio Mane alimlalamikia vibaya vinaya Mohammed Salah baad ya kunyimwa pasi hadi akapoozwa na Kocha wao Jurgen Klopp.

Kama Mane na Salah ambao ni true professionals wanadaiwa kutokuwa na nidhamu kwa tafsiri yenu, itakuwaje kwa wa kwetu
 
descipline
😅😅😅
Nimemwambia ajifunze Kiingereza kwanza. Mtu hajui hata cha kuandika halafu anajifanya kutoa comments.

Kugombana Wachezaji ni kawaida tuu. Mwaka jana Christiano Ronaldo alim mind sana Mason Greenwood baada ya dogo Greenwood kutompa pasi. Naona Ronaldo hana nidhamu. Ni mambo ya kawaida sana katika mpira. Nashangaa linakuwa blown out of proportion
 
Wachezaji wanaoongoza kwa uchoyo na kujijali wao wenyewe pale Simba Sc ni Sakho, Panda na Okrah, level ya uchoyo na UMIMI kwa hao jamaa ni kubwa sana.
Wakemewe vikali
 
Attention to details. Small things matter a lot kama ulikuwa hujui. Simba is just under dog [emoji240]. Il inatumia media kulazimisha ukubwa
Ni under dog ukiwafananisha na kina nani ?
 
Ufupi sio ulemavu
 
Umechambua kisomi ......

Acha niongezee hapo kwenye Henry fayol aka mzee wa 14 principles

Teamwork

Order


Chain of authority

Chain of command

Unity of direction
 
Mgunda hana uwezo wa ku-manage mastaa wakubwa ,why? Hajawahi kufundisha mpira katika klabu kubwa zaidi ya simba. Simba ndiyo klabu yake khbwa ya kwanza kuifundisha, hajawahi kushiriki kuifikisha timu katika hatua hizi kubwa za CAF champions league. Ni wazi kuwa timu itamsumbua.

Simba inahitaji makocha wapya wa kizungu kutoka ulaya. Makocha ambao wamefundisha vilabu vikubwa ulaya au afrika. Kocha kama katoka klabu kubwa za ulaya au hapa Afrika akifika simba hawezi kupata tabu nayo.

Pia waafrika tumejengeka kuwadharau waafrika wenzetu, ipo hivyo ila akija kocha mwarabu au mzungu basi wachezaji wote watatii kama ilivyokuwa kwa babu Zoran Maki.
 

What is English by the way ? Halafu unakuta mtu kama wewe huwezi kusimama na kujipambanua kwa kingereza hata kwa dakika tano tu.

Focus na contents Sina shida na English ni mtazamo wako na fault-Finder.

After all hii Forum ni ya kutoa mawazo HURU na sio ya kuoneshana who is better In English. Ndio maana sina haja ya Kufanya proofreading kutoa hayo makosa unayoyaona wewe kamtu.

Simba ni under dog na hamuwezi kwenda kokote. Mkajifujze management kwanza na maana ya UKUBWA na probably wewe ni short guy. Pole!
 
Umechambua kisomi ......

Acha niongezee happy kwenye Henry fayol aka mzee wa 14 principles

Teamwork

Order


Chain of authority

Chain of command

Unity of direction

Upo vizuri. Sasa haya mambo wanatakiwa kuyajua. Mpira sio Media. Ukubwa wa simba Upo kwenye Media lakini the reality on the ground is always different. SSC haina Characters za kujiita TIMU KUBWA.

Ikiwa Wachezaji timu moja wenye Focus moja wanapigana mbele ya Head Coach Hiyo ni Timu ya Wahuni na wavuta Bangi
Hakuna nidhamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…