Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wanaoongoza kwa uchoyo na kujijali wao wenyewe pale Simba Sc ni Sakho, Panda na Okrah, level ya uchoyo na UMIMI kwa hao jamaa ni kubwa sana.
Kwahiyo wachezaji kutokua na nidhamu ndiyo inafanya kua timu ndogo? Yani ukishakua shabiki wa Simba au Yanga kuna kitu kinapungua kwenye uwezo wa kufikiria (unakua mpumbavu fulani hivi).
Nina wasiwasi kama watakuelewa kupitia hili somo muhimu kwao!Kwenye Management kuna Theory ya Administrative Theory ambayo imeweka 6 Functions za Management na 14 principles of management . Theory hii hutumika jeshini na kwenye Intelligence Institutions kwa ajili ya UTII na Chain of Command.
Katika hizi 14 principles kuna Chain of command, Authority/ Power , Descipline na Unity of direction.
Ukiwa kama Manager na ukashindwa kusimamia hizi principles , that means wewe ni failure.
Juma inawezekana ni good manager lakini anakosa Fundamental Character Ethics za Management. Aende crush course.
Kitendo cha Dejan kulalamika kutopewa pasi na Okrah despite kwamba yupo kwenye better position Ina nullify Unity of Direction ya timu na kitendo cha kutaka kupigana ina maanisha manager ameshindwa ku executes na ku transfer authority au POWER yake Kama Manager. Kama wameweza Ku misbehaving mbele ya head coach , you can be sure kuwa something is wrong kwenye management ya Juma.
and that means , Kocha has poor management skills .
Mpira wa kisasa unawataka mawinga pia wawe wanashinda magoli hivyo imewapelekea kuwa SELFISH and that is really bad maana lengo la timu ni ushindi na Sio Individual success. Mchezaji kama Okrah hawezi kuwa ni msaada kwenye timu. He is all about himself and immaturity.
Gregory’s theory inasema by nature man is Self centered, so wakati mwîngine as a manager lazima uwe aggressive kuhakikisha kuna Descipline na Utii, otherwise you are going to fail
Klabu ya SIMBA ni kubwa, matukio kama haya yana question UKUBWA wa simba , kuwa hii ni Klabu kubwa au ni Klabu ya wahuni na wavuta Bangi ?
Juma, Hili lifanyie kazi lisijirudie tena .... inaharibu sana CV Yako katika Realms za Management as Head Coach. Hata hivyo kwa miaka 2 sasa benchi la ufundi la simba halina nidhamu. Na hii yote ni dhahiri kuwa failure kwenye management.
The chain of Command.... Order and Power must come from only one person and then it goes down following the chain to the lowest level. Hii kitu simba HAIPO . NI MAMBO YA AJABU NA HOVYO.
Simba, fundisheni Nidhamu wachezaji wenu hasa wale wanaoonekana are not well trained maana ya Team work !
——————
Kuna watu kutukana matusi, kwao ni kipaji.Mtu analeta hoja nzuri, ghafla watukanaji maarufu wa JF wanajazana kuharibu maana.
Jifunze Kiingereza kwanza, kama hujui andika tuu KiswahiliSimba ni wahuni kama Baba yao Mo. mm nashanga wanapojita timu Kubwa
Timu kubwa my foot .... wachezaji hawana descipline
Hii ni nguvu kubwa kuliko tukioKwenye Management kuna Theory ya Administrative Theory ambayo imeweka 6 Functions za Management na 14 principles of management . Theory hii hutumika jeshini na kwenye Intelligence Institutions kwa ajili ya UTII na Chain of Command.
Katika hizi 14 principles kuna Chain of command, Authority/ Power , Descipline na Unity of direction.
Ukiwa kama Manager na ukashindwa kusimamia hizi principles , that means wewe ni failure.
Juma inawezekana ni good manager lakini anakosa Fundamental Character Ethics za Management. Aende crush course.
Kitendo cha Dejan kulalamika kutopewa pasi na Okrah despite kwamba yupo kwenye better position Ina nullify Unity of Direction ya timu na kitendo cha kutaka kupigana ina maanisha manager ameshindwa ku executes na ku transfer authority au POWER yake Kama Manager. Kama wameweza Ku misbehaving mbele ya head coach , you can be sure kuwa something is wrong kwenye management ya Juma.
and that means , Kocha has poor management skills .
Mpira wa kisasa unawataka mawinga pia wawe wanashinda magoli hivyo imewapelekea kuwa SELFISH and that is really bad maana lengo la timu ni ushindi na Sio Individual success. Mchezaji kama Okrah hawezi kuwa ni msaada kwenye timu. He is all about himself and immaturity.
Gregory’s theory inasema by nature man is Self centered, so wakati mwîngine as a manager lazima uwe aggressive kuhakikisha kuna Descipline na Utii, otherwise you are going to fail
Klabu ya SIMBA ni kubwa, matukio kama haya yana question UKUBWA wa simba , kuwa hii ni Klabu kubwa au ni Klabu ya wahuni na wavuta Bangi ?
Juma, Hili lifanyie kazi lisijirudie tena .... inaharibu sana CV Yako katika Realms za Management as Head Coach. Hata hivyo kwa miaka 2 sasa benchi la ufundi la simba halina nidhamu. Na hii yote ni dhahiri kuwa failure kwenye management.
The chain of Command.... Order and Power must come from only one person and then it goes down following the chain to the lowest level. Hii kitu simba HAIPO . NI MAMBO YA AJABU NA HOVYO.
Simba, fundisheni Nidhamu wachezaji wenu hasa wale wanaoonekana are not well trained maana ya Team work !
——————
Kwanza kubishana Wachezaji ni ukosefu wa nidhamu?Kwahiyo wachezaji kutokua na nidhamu ndiyo inafanya kua timu ndogo? Yani ukishakua shabiki wa Simba au Yanga kuna kitu kinapungua kwenye uwezo wa kufikiria (unakua mpumbavu fulani hivi).
desciplineSimba ni wahuni .... wachezaji hawana descipline
Kwanza kubishana Wachezaji ni ukosefu wa nidhamu?Kwahiyo wachezaji kutokua na nidhamu ndiyo inafanya kua timu ndogo? Yani ukishakua shabiki wa Simba au Yanga kuna kitu kinapungua kwenye uwezo wa kufikiria (unakua mpumbavu fulani hivi).
Nimemwambia ajifunze Kiingereza kwanza. Mtu hajui hata cha kuandika halafu anajifanya kutoa comments.descipline
😅😅😅
Wakemewe vikaliWachezaji wanaoongoza kwa uchoyo na kujijali wao wenyewe pale Simba Sc ni Sakho, Panda na Okrah, level ya uchoyo na UMIMI kwa hao jamaa ni kubwa sana.
Ni under dog ukiwafananisha na kina nani ?Attention to details. Small things matter a lot kama ulikuwa hujui. Simba is just under dog [emoji240]. Il inatumia media kulazimisha ukubwa
Unasemaje mbovu wakati hapewi passMzungu mbovu tu atulie asituchafulie sifa nzuri ya club yetu pendwa
Ufupi sio ulemavuHii kitu ifanyiwe kazi. Na roho mbaya ni mbaya maan mwisho wa siku watakuwa wanaomba timu ifungwe Tu Ikiwa ni sehemu ya kukomoana.
Ila mtanisamehe Hii ni shida sana ya watu WAFUPI . Watu wafupi hii jamii ni shida sana. Hata kwenye maisha ya kawaida .they are always like that nimesha observe sana hii kitu
I am sorry for my language but I think kuna kaukweli. Ndio maana USA hawataki Rais Mfupi, they also focus na height za marais .
It matters sana.
Mbaya sana.
Nimemwambia ajifunze Kiingereza kwanza. Mtu hajui hata cha kuandika halafu anajifanya kutoa comments.
Kugombana Wachezaji ni kawaida tuu. Mwaka jana Christiano Ronaldo alim mind sana Mason Greenwood baada ya dogo Greenwood kutompa pasi. Naona Ronaldo hana nidhamu. Ni mambo ya kawaida sana katika mpira. Nashangaa linakuwa blown out of proportion
Umechambua kisomi ......
Acha niongezee happy kwenye Henry fayol aka mzee wa 14 principles
Teamwork
Order
Chain of authority
Chain of command
Unity of direction