Na kwa kuwa huna ndugu au jamaa wako wa karibu aliyeuawa na polisi kwa kisingizio cha kupambana na majambazi (kumbe ni njia ya kuchukua fedha au mali zake), utaona kama JPM anapatiaKwakuwa hauna ndugu au jamaa yako wa karibu alieuawa na majambazi utaona kama JPM anakosea,
Mkuu, wewe mjanja sana.
Lol
Ni kweli anakuja kwa kutaka ulicho nacho na anajua kweli unacho habatishi ila ikifikia swala la polisi hapo wanakula pamoja na haki yako hauipati. Ukweli polisi na hao jamaa ni sawa na paka na samaki kila mmoja anapenda. kinacho tula sisi ni polisi wetu.Kwakuwa hauna ndugu au jamaa yako wa karibu alieuawa na majambazi utaona kama JPM anakosea,
Jambazi anaekuja na silaha ana nia moja tu ya kukudhuru, sasa mtu kama huyo sio wa kumuacha
Vile vile haufahamu ugumu wanaokutana nao askari pindi akikabiliana na majambazi.
Polisi akiua jambazi anasimama mahakamani, akimuaacha anakufa yeye.
ukikopi uzi mrefu namna hii na kukomenti maneno mawili, unatuumiza sisi tunaotumia visimu vya mchina.Inaonekana JPM hakufuatilia kesi ya kina Zombe & co. na hawajui sawa sawa polisi wetu!!! Napata woga sana!!!!
Ile katuni aliyoichora GADO aliona mbali sana
kwa nn atumie mafumbo ambayo anajua wengi hawatomuelewa lengo lakuzungumza na wanachi ni nn sasa?Unaandika maandishi meengi na marefu wakati ungeweza kuyafupisha tu, Raisi Magufuli anatumia metaphor anachokisema kina mlengwa na mlengwa siku zote huelewa raisi anamaanisha nini, nitakupa mfano Raisi alivyosema kwamba wanaotumia br. ta DART wakamatwe na magari yao yang'olewe matairi sasa hiyo ni metaphor na wahusika walielewa alichomaanisha kwamba wachukuliwe sheria kali lkn watu mkafanya ikawa ishu kuuubwa wkt ni kitu kidogo tu lkn matokeo yake leo hii wanaovunja hii sheria ni wachache na watu wameanza kustaarabika!
Hivyo raisi Magufuli ni kipimo cha IQ TanZania asiyemuelewa ni kwamba IQ yake haitoshi ni rahisi kihivyo tu ndiyo maana unaona watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama Mbowe, Msigwa, Sugu &Co. wanapata shida sana kumuelewa raisi anachomaanisha, watu kama ninyi mmezoea mtu awape jibu kwamba 2 +5 =7 lkn akikwambia kinyume na hapo unashindwa kupata jibu na ndiyo maana mnakuja na tafsiri zenu za ajabu ajabu lkn leo hii ukienda kuongea na wahusika wakuu wa Askari wetu watakwambia Raisi alichomaanisha, na kazi itafanyika na matokeo yataonyekana wote tutakuwa mashahidi!
Ha ha ha ha ha, mkuu nayaona maumivu nafsini kwako, mtaani kwetu kuna Mzee mmoja alishawahi kuibiwa baiskeli miaka ya nyuma, yeye akisikia kelele za mwizi cha kwanza anatafta lungu lake, pili lazima aje na kiberiti na tatu lazima aje na nyasi zilizokauka za kutosha!Ukiona anaongea,alafu kuanzia waziri wa wizara husika hadi IGP wanatabasamu..we jua kuwa alikuwa anagmfurahisha jukwaa!!
Ila katika hali ya kawaida majambazi wanakera Sana,kama mwizi wa kuku mtaani anakamatwa na kutwangwa hadi kufa..iweje kwa jambazi anaekuja na kunijerui kisha kuchukua Mali yangu???
Police watekeleze huo utani waliotaniwa bila kubambikia watu makesi ya kijinga kisa kutaka vyeo..maana hawachelewi kuja na kukupa gobore kisha wakakutandika risasi za kifua na kukuburuza kwenda kupandishwa cheo!!
Kama walengwa ni majambazi wa kweli basi utani huo na ukaanze kufanya kazi..
Tumechoka kutafuta kwa jasho then yanakuja majitu yanakupora kama uliyafanyia kazi!!
Na hawa Wa huku mitaani wanaopora simu zetu tutajitahidi TUWANYANG'ANYE HARAKA HARAKA kabla hawajakimbia nazo..
Wewe hujaelewa anachomaanisha pasco watanzania ni wavivu wa kusoma na kutafsili hebu ludia kusoma uzi ukishindwa kuelewa anachomaanisha njoo jamvini useme tukueleweshemh, mbona mi naona sawa tu.
just imajin, mtu anakuvamia akiwa na silaha,anakuweka chini ya amri zake, anachukua anachotaka na ukifanya masihara anakutoa maisha mm kwa upande wangu sioni sababu za kuwachekea watu kama hawa.
kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu, i don't think so, watuwamechishwa na hali ya kutokaa kwa amani.
Akina zombe &co waliua majambazi? Sio kila kauli ni ya kushabikia siku akiuawa ndg yako kisa katembea na demu wa askari utashelehekea?mkuu sana Pasco baada ya kusoma maelezo yako, nimegundua bado haujajua ugumu wanaokutana nao polisi wakati wa kupambana na majambazi wenye silaha. Kwenye mapambano yeyote anaweza kuuawa jambazi au askari. Kauli ya kuwanyang'anya majambazi silaha, lengo lake ni kuwaondoa hofu askari. Lakini majambazi wanaoua watu bila hatia, wakinyang'anywa silaha hata wewe utakua na amani kwa usalama wako.
Tunashukuru kwa ufafanuzi ila mwandiko wako kama wa JesykahUnaandika maandishi meengi na marefu wakati ungeweza kuyafupisha tu, Raisi Magufuli anatumia metaphor anachokisema kina mlengwa na mlengwa siku zote huelewa raisi anamaanisha nini, nitakupa mfano Raisi alivyosema kwamba wanaotumia br. ta DART wakamatwe na magari yao yang'olewe matairi sasa hiyo ni metaphor na wahusika walielewa alichomaanisha kwamba wachukuliwe sheria kali lkn watu mkafanya ikawa ishu kuuubwa wkt ni kitu kidogo tu lkn matokeo yake leo hii wanaovunja hii sheria ni wachache na watu wameanza kustaarabika!
Hivyo raisi Magufuli ni kipimo cha IQ TanZania asiyemuelewa ni kwamba IQ yake haitoshi ni rahisi kihivyo tu ndiyo maana unaona watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama Mbowe, Msigwa, Sugu &Co. wanapata shida sana kumuelewa raisi anachomaanisha, watu kama ninyi mmezoea mtu awape jibu kwamba 2 +5 =7 lkn akikwambia kinyume na hapo unashindwa kupata jibu na ndiyo maana mnakuja na tafsiri zenu za ajabu ajabu lkn leo hii ukienda kuongea na wahusika wakuu wa Askari wetu watakwambia Raisi alichomaanisha, na kazi itafanyika na matokeo yataonyekana wote tutakuwa mashahidi!
Mkuu,wezi ni wato wabaya Sana na hawafai kabisa kujumuika na jamii..hebu fikiri huyo mzee alitumia muda gani kupata usafiri mwingine???Ha ha ha ha ha, mkuu nayaona maumivu nafsini kwako, mtaani kwetu kuna Mzee mmoja alishawahi kuibiwa baiskeli miaka ya nyuma, yeye akisikia kelele za mwizi cha kwanza anatafta lungu lake, pili lazima aje na kiberiti na tatu lazima aje na nyasi zilizokauka za kutosha!