Hili la Prof. Assad kumaliza kipindi chake limekaa kisiasa zaidi na siyo kisheria

Hivi huo muda Wa CAG kuongezewa ni kabla ya umri Wa kustaafu au baada? Tuanze hapo kwanza.mtoa mada umeporomosha vifungu bila kuvielewa.
Katiba imeweka vipindi viwili lakini kwa miaka 5 kila kipindi, wamefanya hivyo ili kumpa rais uhuru wa kumchagua kwa mara ya pili
 
Katiba imesema CAG ataaachia nafasi akifikisha miaka 60/65
Assad kafikisha huo umri?
Halafu unajoita ifrs nipe namba yako yako pale NBAA kama ni GA,ACPA au FCPA
unaandika kama kilaza flani
Nimejiita ifrs sababu nimebobea kwenye ifrs, nina Diploma in Ifrs inayotolewa na ACCA, nina Certificate in Ifrs for SME's inayotolewa na Acca now nasomea Diploma in IPSAS inayotolewa na bodi ya wahasibu ya Ireland CIPFA hawa ndio Watabe wa ipsas duniani.
Kama unamchongo wa kampuni inataka consultation ya ifrs nishtue mwana.
 
Hicho kifungu cha CAG ulichokiandika mbona hukuweka "reference" tukisome kwa ukamilifu wake?

Soma namba 7 hapo halafu fata "reference" iliyowekwa hapo uje uweke vifungu vyake.

Huu mchezo hautaki haraka.
Nimeweka dada yangu mbona.
Halafu faiza wewe ni msomi, faiza mimi nikimlipia mwanamke mahari sio lazima nimuoe ila ni muhimu nikamuoa.
Ingekuwa ni kiingereza sababu sio must be marry her , ingetakiwa niambiwe I should be eligible to marry her. Eligible inaondoa kuwa must be
 
Tunajiumiza vichwa bure! Magu ni siku nyingi tu alishaonyesha kuwa HAMTAKI huyu Bwana. Angeshamtoa siku nyiiiingi, akaiingiza sumu mpaka Bungeni kwa kumtumia Ndugai, akakwama. Sasa, ametumia huo upenyo kufanya hiyo DHAMIRA YAKE OVU KWENYE FEDHA ZA WATANZANIA.
 
Hivi huo muda Wa CAG kuongezewa ni kabla ya umri Wa kustaafu au baada? Tuanze hapo kwanza.mtoa mada umeporomosha vifungu bila kuvielewa.
Cheo Cha kuteuliwa hakiendani na umri wa kustaafu waweza teuliwa hata ukiwa na miaka sabini ukitokea popote hata sekta binafsi kwa CAG..Mfano Raisi kana akimteua CAG kutoka kampuni binafsi ya ukaguzi Mfano PwC akiwa na miaka 30 unataka akimaliza muda amfanye Nini? Ananpa mafao yake Case inaishia hapo.Cheo Cha CAG aweza pewa hata kikongwe wa miaka 80 katiba haitamki umri wa CAG .Aweza kuwa hata na miaka 20.Mkataba wake ukiisha kwa heri ya kuonana.

Tatizo wengi humu ni vibarua serikalini au wakereketwa wa vyama ambao hawajawaha ajiriwa sekta binafsi kwa mkataba.Mfano unaajiriwa kuwa meneja mkuu wa kiwanda Cha Coca-Cola kwa mkataba wa miaka mitano ukiwa na miaka 30.Ukimaliza hiyo miaka mitano Wana Uhuru wa kukupa Chako na kuachana na wewe au kukuongezea mkataba hakuna Cha kusema ooh umri wa kustaafu wa serikali na sekta binafsi ni miaka 60 .Huwezi dai uongezewe muda au upewe kazi nyingine ilii ufikishe miaka 60!!!

Nadhani humu nafikiri wengi hawajui nafasi za uteuzi maana yake wanafikiri ni ajira ya kudumu
 
Hapana mkuu katiba haijakiukwa, halafu kuhusu muda wa CAG imezungumzwa kwenye public audit act na sio katiba
Nafikiri sheria husika ndo inayokinzana na katiba.

Kukiwa na contradiction basi katiba inakuwa ndio sheria mama na pia sheria zote zinatakiwa zifuate katiba inavyosema haitakiwi kucontradict.
 
Nimeweka dada yangu mbona.
Halafu faiza wewe ni msomi, faiza mimi nikimlipia mwanamke mahari sio lazima nimuoe ila ni muhimu nikamuoa.
Ingekuwa ni kiingereza sababu sio must be marry her , ingetakiwa niambiwe I should be eligible to marry her. Eligible inaondoa kuwa must be
Ni sawa na mtu kuteuliwa balozi ilihali bado hajapangiwa nchi ya kuhudumu ubalozi.
 
Cheo Cha kuteuliwa hakiendani na umri wa kustaafu waweza teuliwa hata ukiwa na miaka sabini ukitokea popote hata sekta binafsi kwa CAG..Mfano Raisi kana akimteua CAG kutoka kampuni binafsi ya ukaguzi Mfano PwC akiwa na miaka 30 unataka akimaliza muda amfanye Nini? Ananpa mafao yake Case inaishia hapo.Cheo Cha CAG aweza pewa hata kikongwe wa miaka 80 katiba haitamki umri wa CAG .Aweza kuwa hata na miaka 20.Mkataba wake ukiisha kwa heri ya kuonana.

Tatizo wengi humu ni vibarua serikalini au wakereketwa wa vyama ambao hawajawaha ajiriwa sekta binafsi kwa mkataba.Mfano unaajiriwa kuwa meneja mkuu wa kiwanda Cha Coca-Cola kwa mkataba wa miaka mitano ukiwa na miaka 30.Ukimaliza hiyo miaka mitano Wana Uhuru wa kukupa Chako na kuachana na wewe au kukuongezea mkataba hakuna Cha kusema ooh umri wa kustaafu wa serikali na sekta binafsi ni miaka 60 .Huwezi dai uongezewe muda au upewe kazi nyingine ilii ufikishe miaka 60!!!

Nadhani humu nafikiri wengi hawajui nafasi za uteuzi maana yake wanafikiri ni ajira ya kudumu
Mkuu kasome kifungu cha144 cha katiba..
 
Fikiria kwanza kwanini nafasi ya CAG inaongelewa kwenye katiba na sio wakurugenzi wengine unapo fananisha CAG na nafasi zingine unakosea
 
Naomba nitumie mfano wa Rais.

1. Article 33(1) inasema There SHALL BE a president of United Republic. 'Shall be' ikikaa peke yake maana yake ni lazima Rais wa Jamhuri awepo.

2. Article 40(1) inasema President SHALL BE ELIGIBLE for re-election. Ukiona eligible imekaa mbele ya 'shall be', maana yake inampa haki Rais aliyepo madarakani kuchaguliwa kwa mara pili lakini siyo lazima achaguliwe kwa mara pili.

Sasa tukija kwa CAG, Public Audit Act inasema CAG shall be eligible for renewal, kitendo cha kuweka 'eligible' mbele ya 'shall be', maana yake CAG ana haki ukiteuliwa mara ya pili lakini siyo lazima achaguliwe.

AsanteniView attachment 1253281View attachment 1253282View attachment 1253283
sawa
 
Nchi hii ni tatizo sana vichwa havitakiwi kabisa maana wakweli na wanaohoji hawapendwi...jamii ya yule Dr. Malecela alietumbuliwa sababu hazieleweki hawapendwi kabisa sasa huyo Kichere kweli kabisaa awe CAG...
 
Mkuu kasome kifungu cha144 cha katiba..
Kinasema kwa vyovyote atastaafu akifikisha miaka 60 maana yake Nini ? Raisi aweza mteua mtu awe CAG akiwa na miaka 58 Mfano.Huyo CAG akifikisha miaka 60 lazima aondoke bila kujali kuwa aliyemteaua kampa miaka mitano.
Kuna ma CAG kibao wa Tanzania Kuna mdau kaweka wako waliodumu miaka miwili wengine mitatu wakaondoka
 
Katiba imesema CAG ataaachia nafasi akifikisha miaka 60/65
Assad kafikisha huo umri?
Halafu unajoita ifrs nipe namba yako yako pale NBAA kama ni GA,ACPA au FCPA
unaandika kama kilaza flani
Ungeanza na tofauti kati ya "AJIRA YA KUDUMU" na "AJIRA YA MKATABA WA MUDA MAALUMU"

Ukishafahamu tofauti utagundua kuwa ajira ya mkataba wa muda maalumu inafuata muda ulioainishwa kwenye mkataba wa ajira na siyo umri wa huyo mwajiriwa
 
Fikiria kwanza kwanini nafasi ya CAG inaongelewa kwenye katiba na sio wakurugenzi wengine unapo fananisha CAG na nafasi zingine unakosea
Kutajwa kwenye katiba siyo issue.Katiba inasema utateuliwa miaka mitano.Ingetaka kuwa utadumu miaka kumi.ingesema wazi bila kumeza maneno nankupotezea muda watu ingeyamka straight kuwa CAG atateuliwa kudumu kwa miaka kumi.Kisheria hata herufi mkato ina maana kubwa.Ukiona inasema atateuliwa kwa miaka mitano halafu mkato .Hapo penye mkato pana maneno ina maana Kuna alama ya kuuliza kabla ya kuendelelea. Huo mkato kuna mengi yanayotakiwa kuangaliwa Kama aendelee au asiendelee.Mkato pia maana yake mkataba waweza katishiwa hapo penye alama ya mkato usiendelee Tena biashara ya U CAG ikaishia hapo
 
Back
Top Bottom