Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na ya kiswahili ibara ya 40 waelewe vizuri zaidi.Naomba nitumie mfano wa Rais.
1. Article 33(1) inasema There SHALL BE a president of United Republic. 'Shall be' ikikaa peke yake maana yake ni lazima Rais wa Jamhuri awepo.
2. Article 40(1) inasema President SHALL BE ELIGIBLE for re-election. Ukiona eligible imekaa mbele ya 'shall be', maana yake inampa haki Rais aliyepo madarakani kuchaguliwa kwa mara pili lakini siyo lazima achaguliwe kwa mara pili.
Sasa tukija kwa CAG, Public Audit Act inasema CAG shall be eligible for renewal, kitendo cha kuweka 'eligible' mbele ya 'shall be', maana yake CAG ana haki ukiteuliwa mara ya pili lakini siyo lazima achaguliwe.
AsanteniView attachment 1253281View attachment 1253282View attachment 1253283
CAG anaongezewa muda akimaliza miaka 5 ya awali!Hivi huo muda Wa CAG kuongezewa ni kabla ya umri Wa kustaafu au baada? Tuanze hapo kwanza.mtoa mada umeporomosha vifungu bila kuvielewa.
Mkuu una uhakika mtu mwenye umri wa miaka zaidi ya 65 anaweza kuteuliwa kuwa CAG pia?Cheo Cha kuteuliwa hakiendani na umri wa kustaafu waweza teuliwa hata ukiwa na miaka sabini ukitokea popote hata sekta binafsi kwa CAG..Mfano Raisi kana akimteua CAG kutoka kampuni binafsi ya ukaguzi Mfano PwC akiwa na miaka 30 unataka akimaliza muda amfanye Nini? Ananpa mafao yake Case inaishia hapo.Cheo Cha CAG aweza pewa hata kikongwe wa miaka 80 katiba haitamki umri wa CAG .Aweza kuwa hata na miaka 20.Mkataba wake ukiisha kwa heri ya kuonana.
Tatizo wengi humu ni vibarua serikalini au wakereketwa wa vyama ambao hawajawaha ajiriwa sekta binafsi kwa mkataba.Mfano unaajiriwa kuwa meneja mkuu wa kiwanda Cha Coca-Cola kwa mkataba wa miaka mitano ukiwa na miaka 30.Ukimaliza hiyo miaka mitano Wana Uhuru wa kukupa Chako na kuachana na wewe au kukuongezea mkataba hakuna Cha kusema ooh umri wa kustaafu wa serikali na sekta binafsi ni miaka 60 .Huwezi dai uongezewe muda au upewe kazi nyingine ilii ufikishe miaka 60!!!
Nadhani humu nafikiri wengi hawajui nafasi za uteuzi maana yake wanafikiri ni ajira ya kudumu
Ingempendeza Raisi angeweza kumpa mkataba mwingine (CAG alikuwa eligible na hajafikisha 65). Raisi hana uwezo huo kama CAG anamaliza mhula wake wa pili au amefikisha miaka 65 (CAG inabidi aachie ofisi).
[/QUOTE
Mbowe anakazi kweli, kwahiyo hapo uneona umechambua haswaCheo Cha kuteuliwa hakiendani na umri wa kustaafu waweza teuliwa hata ukiwa na miaka sabini ukitokea popote hata sekta binafsi kwa CAG..Mfano Raisi kana akimteua CAG kutoka kampuni binafsi ya ukaguzi Mfano PwC akiwa na miaka 30 unataka akimaliza muda amfanye Nini? Ananpa mafao yake Case inaishia hapo.Cheo Cha CAG aweza pewa hata kikongwe wa miaka 80 katiba haitamki umri wa CAG .Aweza kuwa hata na miaka 20.Mkataba wake ukiisha kwa heri ya kuonana.
Tatizo wengi humu ni vibarua serikalini au wakereketwa wa vyama ambao hawajawaha ajiriwa sekta binafsi kwa mkataba.Mfano unaajiriwa kuwa meneja mkuu wa kiwanda Cha Coca-Cola kwa mkataba wa miaka mitano ukiwa na miaka 30.Ukimaliza hiyo miaka mitano Wana Uhuru wa kukupa Chako na kuachana na wewe au kukuongezea mkataba hakuna Cha kusema ooh umri wa kustaafu wa serikali na sekta binafsi ni miaka 60 .Huwezi dai uongezewe muda au upewe kazi nyingine ilii ufikishe miaka 60!!!
Nadhani humu nafikiri wengi hawajui nafasi za uteuzi maana yake wanafikiri ni ajira ya kudumu
Kabisa Mkuu, Dalili zilishaonekana, lakini nashangaa sasa ivi watu bado wanaona kama hii kitu ni ajabu, wakati Udhihilisho ulishaonekana.Tunajiumiza vichwa bure! Magu ni siku nyingi tu alishaonyesha kuwa HAMTAKI huyu Bwana. Angeshamtoa siku nyiiiingi, akaiingiza sumu mpaka Bungeni kwa kumtumia Ndugai, akakwama. Sasa, ametumia huo upenyo kufanya hiyo DHAMIRA YAKE OVU KWENYE FEDHA ZA WATANZANIA.
Mbona huyu CAG mpya alipokuwa TRA mzee alimtoa kwa madai ya kuvurunda,akampeleka Njombe huko,akawa DAS?Jameni rais asipangiwe, aachwe achague na kupanga timu ya kumuwezesha kutimiza ndoto ya Watanzania na Waafrika wanaojifunza kwake.
Wateule wote wa Magufuli ni wachapa kazi, na yeyote anayesuasua anawajibishwa na kutumbuliwa.
Msone CAG huyu hapa Mohamed Aboud Mohamed alistaafu u CAG akiwa na miaka 65 kwa katiba hii hii iliyopo.Alizaliwa 1927 akastaafu U CAG mwaka 1987 .Akiwa katumika Kama CAG kwa miaka 30Angempa vipi wakati katiba unasema mwisho miaka 60 astaafu, wakati huohuo sheria inasema atapewa mkataba wa miaka mitano, kikatiba na kisheria umri wa cag unapaswa kuwa chini ya miaka 50 ndio twende sawa
Hicho kifungu cha CAG ulichokiandika mbona hukuweka "reference" tukisome kwa ukamilifu wake?
Soma namba 7 hapo halafu fata "reference" iliyowekwa hapo uje uweke vifungu vyake.
Huu mchezo hautaki haraka.
Jameni rais asipangiwe, aachwe achague na kupanga timu ya kumuwezesha kutimiza ndoto ya Watanzania na Waafrika wanaojifunza kwake.
Wateule wote wa Magufuli ni wachapa kazi, na yeyote anayesuasua anawajibishwa na kutumbuliwa.
Nimewahi kuandika humu sifahamu kama watu walinielewa "Rais wa Tanzania ana mamlaka makubwa ndani ya Tanzania kuliko Rais wa USA ndani ya USA".Katiba inampa Rais madaraka makubwa sana. Hakuna litakalobadilika. Sijui ule mchakato wa mwaka 2015 nani aliuharibu. Sasa hivi tusijilishe upepo tutapasuka bila sababu
naona unamavyeti mengi,Je mahela vp?Nimejiita ifrs sababu nimebobea kwenye ifrs, nina Diploma in Ifrs inayotolewa na ACCA, nina Certificate in Ifrs for SME's inayotolewa na Acca now nasomea Diploma in IPSAS inayotolewa na bodi ya wahasibu ya Ireland CIPFA hawa ndio Watabe wa ipsas duniani.
Kama unamchongo wa kampuni inataka consultation ya ifrs nishtue mwana.
Hapana mkuu katiba haijakiukwa, halafu kuhusu muda wa CAG imezungumzwa kwenye public audit act na sio katiba
Ngoma inogile!