MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ndyo maana jama wameendelea snNi fedheha na aibu!
Nimeangalia State of the Union kwa wenzetu huko ni issue serious sana! Mnapiga makofi mkiguswa sana mnasimama kwa makofi.
Nashukuru kwa Kunielewa Ndugu na Generalist nikiwa naeleweka na Watu 'Intelligent' kama Wewe hapa Jamiiforums huwa ninafurahi mno.Ni fedheha na aibu!
Nimeangalia State of the Union kwa wenzetu huko ni issue serious sana! Mnapiga makofi mkiguswa sana mnasimama kwa makofi.
Tuna Bunge Hopeless mno tu kwa sasa.Ni kukosa adabu na kujipendekeza
Je, unajua maana na dhania nzima ya Mheshimiwa Rais 'Kulihutubia' Bunge na hilo Tukio 'Kuratibiwa' kuwa ni Muhimu ( Nyeti ) na la Kitaifa zaidi?Kwani hao wazungu kila kitu lazima waanzishe wao ...acha utumwa wa fikra
Au ndo kudemka huko?Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza.
Je, hili la Wabunge 'Kuingilia' Hotuba ya Rais kwa (kuimba na Kusifu) kwa Bunge tukiamini kuwa ni tukio Kubwa na Adhimu katika Siasa za Tanzania (na hata Mataifa mengine) ni la 'Kikatiba' au labda Watanzania 'tumejibunia' tu Wenyewe ama kwa Ushamba au Upuuzi wetu uliozoeleka kwa miaka mingi?
Maajabu mengi yapo tu Tanzania Kwetu.
unaweza kuwa na akili sana wewe hadi kutoa mada nzuri na fikirishi,ila usipende kuonyesha wingi wa akili zako kwa kutukana watu unaodhani hawajakidhi matakwa yako ya mada yako....hii tabia yako ya matusi inakua kwa kasiJe, unajua maana na dhania nzima ya Mheshimiwa Rais 'Kulihutubia' Bunge na hilo Tukio 'Kuratibiwa' kuwa ni Muhimu ( Nyeti ) na la Kitaifa zaidi?
Je, umeshajiuliza ni kwanini Mheshimiwa Rais huwa hazungumzi na Bunge ( Mhimili ) mwingine mara kwa mara?
Je, umeshajiuliza ni kwanini Mheshimiwa Rais akipanga 'Kulihutubia' Bunge taratibu nyingi za 'Kiitifaki' hapo ( pale ) Bungeni nazo pia hubadilika?
Hauna Akili na acha Kunipotezea muda.
Mimi naona ni bora usingea dika huu uzi kuliko kujulikana kupitia uzi kama huu.Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza.