Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Hao wote ulio wataja ni makafiri tu ila wnajiita Waislam Mwislam gani anaweza kusimamia uchafu wa Magu kupiga Shangazi kudhulumu mali kutoa uhai watu hovyo dhuluma?
 
Duh asee kwa hiyo baada ya uchaguzi tuanze kelele tena za mikutano kaz zisimame huku wao wanapata ruzuku .
Zitto alikuwa haongei ?
Mbowe kaongea mara ngapi hata kwenye misiba.!
Ukitaka mkutano toa taarifa mbona iliwekwa wazi tu.
Swala korosho una ushahidi kuwa zilivyochukuliwa wote hawakulipwa ?na ulifanya reseach kulijua hilo na kumbe Rais alifanya kosa kuwatetea kuhusu bei ya korosho dah kweli shukrani za punda ni mateke ila kama hawakulipwa waliporwa basi hakika utashuhudia ushindi wa JPM nakuombea Mungu akuweke,japo najua kangomba pia walikwazwa na huo utaratibu .
Naomba usiniquote maana sitakujibu kesho tunaamkia Korogwe kazi ni nyingi Allamsik
 

..mbona Magufuli alikuwa anafanya mikutano nchi nzima akiropokwa na kudhalilisha wanawake? Je, kazi zilisimama?
 
Hao wote ulio wataja ni makafiri tu ila wnajiita Waislam Mwislam gani anaweza kusimamia uchafu wa Magu kupiga Shangazi kudhulumu mali kutoa uhai watu hovyo dhuluma?
Shida yenu ndugu zetu mnajionaga wasafi sana Mtu akionekana yupo na urafiki wa upande wa pili wakati hata wewe unakula Tigo kwa mke wako na unafuga majini ndio mana mnapenda sana Lissu apewe chapuo na hata mfalme wa Morroco kuwajengea msikiti kwa ombwe la Rais mnachukia maana hata nyinyi mmegawanyika usifikiri hatujui.
 

..umeshindwa hoja sasa umeishia kutukana.
 
Ila tuseme ukweli! Ile kauli ya Ponda eti Raia wailazimishe tume ya Uchaguzi kumtangaza Lissu kua Raisi ni ya vitisho na Uchochezi!!
Watu washaanza kutamka kauli zaidi ya hiyo goli la mkono mama samia juzi nae katoka na Boko hata tukishindwa hatutoki hizi sio kauli za uchochezi uchaguzi unafanyika wa nini sasa...
 
Waislamu wapo 80%
Kumbuka wanazaana sana.

Na wote wanamuamini sana sheikh ponda.

Yani mwaka huu lazima tuingie kitaaa.

Takbiiiiiiri.
 
Sheikh Ponda hajawahi kufanikiwa kwenye mission yake ya kuleta ugaidi Tanzania na hatafanikiwa!
 
Naamini Lissu ndio anamtumia Ponda kama chombo cha kumfikisha ktk malengo yake kisha akifika atashuka na kuachana na chombo(Ponda). siamini hata kidogo kama Lisu anakubaliana na waraka wa sheki Ponda maaana haijawahi kuzungumza hata mara moja kama ni kweli au la na athari zake.
 
Hivi wewe unasoma mwenyewe au kuna mtu anakusomea humu ndio anakwambia ambavyo sijavieleza humu? Hakuna nilipouliza Lissu kafanya nini,nimeuliza Lissu kasema nini(kampeni) kuhusu Mahakama ya kadhi?
 
Waislamu wapo 80%
Kumbuka wanazaana sana.

Na wote wanamuamini sana sheikh ponda.

Yani mwaka huu lazima tuingie kitaaa.

Takbiiiiiiri.
Yani unapozungumzia waislamu ni kana kwamba waislamu wa Tz wote ni siasa kali wakati wengine hata huyo Sheikh Ponda hawamjui vizuri wala anashughulika na nini zaidi ya kusikia tu leo kasema hivi mara kesho kakamatwa. Na unapozungumzia hiyo 80% humo wapo waislamu wengine ni ccm,wengine ndio type za Akina Diamond na Ali kiba sasa sijui hawa huyo Ponda kama wanamuelewa.
 
Huwezi kujua kwa sababu huna time nao sio muhimu hata kujua ndio maana hujui,wewe kwako muhimu ni hao masheikh tu ndio maana unajua uwepo wao huko jela na unataka kumpigia kura Lissu ili tu akawatoe masheikh.

Halafu et unaona uchungu kunyanyasika,hao masheikh wa uamsho wamekamatwa kipindi cha Kikwete(muislamu) na Sheikh Ponda alimpigia kampeni huyo Kikwete kwa waislamu 2010.
 
Sio kwamba Sina time nao..... mimi siwezi kusapoti mtu yeyote anaefanyiwa dhulma hata awe wa dini gani

Sasa wewe mwenzetu unaejua kuna waislamu na wasio waislamu wapo jela bila makosa inachukua hatua gani kuiadhibu serikali dhalim??,,,,,,,,

KUHUSU masheikh waliopo jela sio tu wauansho kuna viongozi wetu Chungu nzima wapo jela wamekamatwa kuanzia 2016 huyu kafiri akiwa tayari ni Rais

Na wale wa uamsho walikamatwa zanzibari mwaka 2014 kabla kafiri hajawa rais ila wakaletwa Tanganyika ili waadhibiwe

Kilio cha waislamu wa haki ni tofauti na waislamu wanafiki Hilo lipo wazi hata Qur'aan inafundisha hivyo
Kama walikamatwa kabla kafiri hajakuja madarakani Sasa Ndio waendelee kuteswa?

Of course wewe haikuumi wala haikushughulishi na unamshangaa mtu akijisikia majonzi kwa viongozi wetu wakiteswa Sana na makafiri
Na mimi nakushangaa wewe kushabikia dhulma
 
Andiko lenye mantiki kubwa sana hiki,asante sana
 
Waislamu wapo 80%
Kumbuka wanazaana sana.

Na wote wanamuamini sana sheikh ponda.

Yani mwaka huu lazima tuingie kitaaa.

Takbiiiiiiri.
Huo ndo ukweli kama unakejeli endelea tu CCM tumesha wazoea ila mwisho wenu ni tarahe 28 octomber
 
Kama hujui she Ponda jua uiislamu wako unamshaka sana, utakua Muislamu kwa bahati mbaya
 
Udini upo Tanzania. Angalia uteuzi wa JPM amejaza Wakristo tu. Ila usilete hoja ya Majaliwa na Samia kwa kuwa hakuwa na options
Katiba ya JMT imetamka wapi kuwa hii nchi ina dini?
 
Sasa Magufuli unamwita Kafiri na inaonesha kuwa unaona hatendi haki kwa sababu ni kafiri ila hapohapo unataka kumpigia kura Lissu ambaye nae pia ni kafiri,una matatizo gani Sheikh? Ndiyo maana nimekumbusha kuwa wazee wetu walishirikiana na Nyerere ambaye nae alikuwa Kafiri ila sasa imebaki majuto tu kwa kushirikiana na Kafiri na wewe unaona haki itapatikana kwa kutoka kwa kafiri.

Halafu labda nikwambie kuwa mie huwa sipigi kura hivyo sikumbigia kura Kikwete ambaye nyie mlipigia kwa kuhamasishwa na huyo Ponda na matokeo yake masheikh wa uamsho na waislamu wengine wengi wakakamatwa katika utawala wa huyohuyo Kikwete,na sasa tena huyhuyo Sheikh Ponda sasa hivi anataka mumchague Kafiri kabisa et ndio ili kupata HAKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…