Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

Sasa ulitaka awaambie watu wampigie kura ndugu wa kikwete katika kuuwa aitwaye Magufuli . Mtu ambaye anawaongoza watu wasiojulikana waliompiga risasi Lisu??
Kwani waislamu wenyewe hawana maamuzi hadi Sheikh Ponda ndio awaambie wampigie kura nani,hii ni siasa hivyo kila mtu ana haki ya kuamua ampigie kura nani au chama gani.

Kama Huyo muislamu mwenzake tu Kikwete aliyempigia kampeni 2010 hakuweza kuondoa shida za waislamu wenzake ndio huyo kafiri Lissu ataweza kuziondoa?
 
Bora kafiri kuliko mnafiki
 
Bora kafiri kuliko mnafiki
Huyo Lissu aliyekula matapishi yake kwa Lowassa ndio sio mnafki?tena kuna mmoja anamwita kabisa muadilifu!

Lissu alituambia Lowassa fisadi ila alivyomnafki 2015 anatuambia et kama Lowassa fisadi mbona hashtakiwi?halafu et leo waislamu tumpigie kura mtu kama huyo kwa kuamini ndio atasimamia haki,Lissu ni mwanasiasa na wanasiasa wanajulikana walivyo.

Hamjajifunza tu kwa Nyerere?
 
Hivi Lisu aliwafunga masheikh na kuwabambikia kesi za kigaidi?
 
Wote makafiri,kwahiyo Ponda hawezi kutuchagulia kafiri yupi wa kumpigia kura.

Hivi 2015 waislamu walimpigia kura nani Lowassa au Magufuli?
Kumbe Kafiri Lisu ndiye aliyeiunda Tume ya uchaguzi na ndiye anayetoa haki?
 
Huyo Lissu aliyekula matapishi yake kwa Lowassa ndio sio mnafki?tena kuna mmoja anamwita kabisa muadilifu!

Lissu alituambia Lowassa fisadi ila alivyomnafki 2015 anatuambia et kama Lowassa fisadi mbona hashtakiwi?halafu et leo waislamu tumpigie kura mtu kama huyo kwa kuamini ndio atasimamia haki,Lissu ni mwanasiasa na wanasiasa wanajulikana walivyo.

Hamjajifunza tu kwa Nyerere?

Unasahau wale waislamu aliowapigania kule Magerezani wakatokabaada ya kubambikiwa kesi? Mbona hatukuona wewe wala masheikh wako wa Bakwata wala Magufuli wako kuwatetea ?
 
Sisi hatutaki watu wanaosikiliza TBC
Halafu wanaamini ndo mwisho
Kile kijiji karibu na chato watu 9 wameuwea wiki iliopita na tanapa halafu unasema walikua majambazi
Tuombe uhai ipo siku huyu katili atakua sio Rais Ndio utasikia mengi
Ukiona serikali inabana Sana vyombo vya Habari ujue kuna maovu mengi anafanya kimya kimya
Out dated mind 🚶🚶🚶
 
Walevi kama ww waliomba kwa Jpimu amuachie Baraba mlevi mwenzao kisha Yesu akafungwe..HUIJUI DUNIA MDOGO WANGU..BILA SHAKA BADO UNANYONYA VIDOLE UKIKUMBUKIA MAZIWA..Inatosha HUJIELEWI
Sibishanagi na watu wenye mtindio wa ubongo mm
 
Halafu hawa Bakwata Mufti wao anachaguliwa na kikundi cha Bakwata baada ya hapo wanataka atawale wote badala ya kuwaongoza wao tu kama kweli tunatafuta kiongozi wa kuwakilisha waislamu wote kama Mufti basi mfumo wa kumchagua ubadilike, maana wako watu wana elimu kubwa na uwezo mkubwa wa kutetea maslahi ya waislamu wote. Huwezi kusema huyu ni shekh wa mkoa, huyu Mufti ila mnachaguwana wenyewe kama chama. hawa waitwe shekh mkuu wa bakwata wa mkoa, Mufti wa bakwata Tanzania hapo tutawaelewa.
 
nashauri kuwa, malamiko/madai ya waislam wote yawe kupitia shek Ponda au Bakwata yawasilishwe kwa Rais JPM naaamini ndiye mtu sahihi atakaye yashughulikia kwa uadilifu, madai yao sio ya kupuuuzwa hata kidogo, naamini Magufuli lazima atatatua kero za waislam kwani pia wao ni sehemu ya wapiga kura wake na sehemu ya watanzania wenzetu.
sote tunajenga nchi yetu hakuna sababu ya kubaguana au kupendelea upende mmoja, wote wana haki sawa.
 
Kila muislamu anajua bakwata iliundwa na ccm lengo kuu ni kuwapunguza nguvu waislamu thus wako radhi kuitetea ccm kuliko mustakabali wa waislamu.
Atujawasikia wakilaani uwekwaji ndani wa masheik, ukamatwaji usio haki wa Ponda atoapo maoni yake, tofauti na musiba anaropoka hovyo kuvunja amani kwa Baraka kuu sababu si muislamu thus yupo nje, atujawasikia wakilaani juu ya ubaguzi wa kidini kwenye teuzi,
 
Kama kiongozi atakuwa hafuati Qur- an hawezi kutenda Haki hiyo ndo imani ya Muislamu anayeijua Dini yake vinginevo ni propaganda tu
 
Hivi Lisu aliwafunga masheikh na kuwabambikia kesi za kigaidi?
Aliyewafunga masheikh ni muislamu mwezako ambaye alipigiwa kura na waislamu kwa kuambiwa na Sheikh Ponda,sasa Sheikh Ponda anakuja tena kutuambia tumchague mtu mwengine ila safari hii anayetuambia tumchague ni kafiri.

Sasa hapo ndio najiuliza huyu kafiri ana nini hadi sie waislamu tumchague? maana huyu kafiri ni kama walivyo wanasiasa wengine tu wengi wanafki na hana tofauti na hao.

Huyu kafiri Lissu alituambia kuwa Lowassa ni fisadi ila baadaye anakuja kusema Lowassa sio fisadi na ndio maana hajashtakiwa alikula matapishi yake,sasa inakuaje Sheikh Ponda atuchagulie mtu mnafki kama huyu?ataweza kweli kutekeleza hiyo ahadi aliyoitoa kwa waislamu na huu unafki wake?

Huyu Lissu alisema ACT si chama cha upinzani kwamba kinatumika na serikali kuvuruga upinzani na akamtaja hadi Zitto kabwe kuwa anatumika na serikali hivyo si mpinzani,ila leo Lissu anashirikiana na ACT wakati alishasema kuwa hicho si chama cha upinzani bali kipo hapo kuuwa upinzani.

Sasa mtu kama huyo sie waislamu tumchague wa nini?
 
Kila muislamu anajua bakwata iliundwa na ccm lengo kuu ni kuwapunguza nguvu waislamu thus wako radhi kuitetea ccm kuliko mustakabali wa waislamu.
Atujawasikia wakilaani uwekwaji ndani wa masheik, ukamatwaji usio haki wa Ponda atoapo maoni yake, tofauti na musiba anaropoka hovyo kuvunja amani kwa Baraka kuu sababu si muislamu thus yupo nje, atujawasikia wakilaani juu ya ubaguzi wa kidini kwenye teuzi,
Bakwata hawawezi kufanya hivyo kwa sababu wataiuzi serikali hivyo lazima wakubali kwenda vile serikali inavyotaka,ni sawa na hawa wanasiasa ambako wakati mwengine wanaweza kuwa ana wanamtazamo tofauti na chama ila hawezi kupingana na chama hivyo inabidi kukubaliana na chama.
 
Back
Top Bottom