Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwani waislamu wenyewe hawana maamuzi hadi Sheikh Ponda ndio awaambie wampigie kura nani,hii ni siasa hivyo kila mtu ana haki ya kuamua ampigie kura nani au chama gani.Sasa ulitaka awaambie watu wampigie kura ndugu wa kikwete katika kuuwa aitwaye Magufuli . Mtu ambaye anawaongoza watu wasiojulikana waliompiga risasi Lisu??
Kama Huyo muislamu mwenzake tu Kikwete aliyempigia kampeni 2010 hakuweza kuondoa shida za waislamu wenzake ndio huyo kafiri Lissu ataweza kuziondoa?