Kwani waislamu wenyewe hawana maamuzi hadi Sheikh Ponda ndio awaambie wampigie kura nani,hii ni siasa hivyo kila mtu ana haki ya kuamua ampigie kura nani au chama gani.Sasa ulitaka awaambie watu wampigie kura ndugu wa kikwete katika kuuwa aitwaye Magufuli . Mtu ambaye anawaongoza watu wasiojulikana waliompiga risasi Lisu??
Magufuli kumbe ni mwislamu?Kafiri hapo ni Lissu.
Kwani waislamu wenyewe hawana maamuzi hadi Sheikh Ponda ndio awaambie wampigie kura nani,hii ni siasa hivyo kila mtu ana haki ya kuamua ampigie kura nani au chama gani.
Kama Huyo muislamu mwenzake tu Kikwete aliyempigia kampeni 2010 hakuweza kuondoa shida za waislamu wenzake ndio huyo kafiri Lissu ataweza kuziondoa?
Huyo Lissu aliyekula matapishi yake kwa Lowassa ndio sio mnafki?tena kuna mmoja anamwita kabisa muadilifu!Bora kafiri kuliko mnafiki
Wote makafiri,kwahiyo Ponda hawezi kutuchagulia kafiri yupi wa kumpigia kura.Magufuli kumbe ni mwislamu?
Hivi Lisu aliwafunga masheikh na kuwabambikia kesi za kigaidi?Huyo Lissu aliyekula matapishi yake kwa Lowassa ndio sio mnafki?tena kuna mmoja anamwita kabisa muadilifu!
Lissu alituambia Lowassa fisadi ila alivyomnafki 2015 anatuambia et kama Lowassa fisadi mbona hashtakiwi?halafu et leo waislamu tumpigie kura mtu kama huyo kwa kuamini ndio atasimamia haki,Lissu ni mwanasiasa na wanasiasa wanajulikana walivyo.
Hamjajifunza tu kwa Nyerere?
Kumbe Kafiri Lisu ndiye aliyeiunda Tume ya uchaguzi na ndiye anayetoa haki?Wote makafiri,kwahiyo Ponda hawezi kutuchagulia kafiri yupi wa kumpigia kura.
Hivi 2015 waislamu walimpigia kura nani Lowassa au Magufuli?
Huyo Lissu aliyekula matapishi yake kwa Lowassa ndio sio mnafki?tena kuna mmoja anamwita kabisa muadilifu!
Lissu alituambia Lowassa fisadi ila alivyomnafki 2015 anatuambia et kama Lowassa fisadi mbona hashtakiwi?halafu et leo waislamu tumpigie kura mtu kama huyo kwa kuamini ndio atasimamia haki,Lissu ni mwanasiasa na wanasiasa wanajulikana walivyo.
Hamjajifunza tu kwa Nyerere?
Mlafi na dhaifu wa roho hata akipewa dunia nzima haimtoshi40% plus
SawaMashekhe wetu wafunguliwe la sivyo tutapigia kura CHADEMA na kuzilinda vyema
Out dated mind 🚶🚶🚶Sisi hatutaki watu wanaosikiliza TBC
Halafu wanaamini ndo mwisho
Kile kijiji karibu na chato watu 9 wameuwea wiki iliopita na tanapa halafu unasema walikua majambazi
Tuombe uhai ipo siku huyu katili atakua sio Rais Ndio utasikia mengi
Ukiona serikali inabana Sana vyombo vya Habari ujue kuna maovu mengi anafanya kimya kimya
Sibishanagi na watu wenye mtindio wa ubongo mmWalevi kama ww waliomba kwa Jpimu amuachie Baraba mlevi mwenzao kisha Yesu akafungwe..HUIJUI DUNIA MDOGO WANGU..BILA SHAKA BADO UNANYONYA VIDOLE UKIKUMBUKIA MAZIWA..Inatosha HUJIELEWI
Point of no returnEndorsements imefanywa tayari na sheikh ponda....
Wale masheikh ni walaji wa kitimoto,wazinzi,wachawi(sheikh sharrif majibu),na wanafiki hata kama wangezungukunga nchi nzima kupinga kauli ya sheikh ponda bado Sisi watanzania tunajua ukweli uko wapi
Aliyewafunga masheikh ni muislamu mwezako ambaye alipigiwa kura na waislamu kwa kuambiwa na Sheikh Ponda,sasa Sheikh Ponda anakuja tena kutuambia tumchague mtu mwengine ila safari hii anayetuambia tumchague ni kafiri.Hivi Lisu aliwafunga masheikh na kuwabambikia kesi za kigaidi?
Bakwata hawawezi kufanya hivyo kwa sababu wataiuzi serikali hivyo lazima wakubali kwenda vile serikali inavyotaka,ni sawa na hawa wanasiasa ambako wakati mwengine wanaweza kuwa ana wanamtazamo tofauti na chama ila hawezi kupingana na chama hivyo inabidi kukubaliana na chama.Kila muislamu anajua bakwata iliundwa na ccm lengo kuu ni kuwapunguza nguvu waislamu thus wako radhi kuitetea ccm kuliko mustakabali wa waislamu.
Atujawasikia wakilaani uwekwaji ndani wa masheik, ukamatwaji usio haki wa Ponda atoapo maoni yake, tofauti na musiba anaropoka hovyo kuvunja amani kwa Baraka kuu sababu si muislamu thus yupo nje, atujawasikia wakilaani juu ya ubaguzi wa kidini kwenye teuzi,