Uchaguzi 2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

So ishu hapo ni maslai, kunufaika thus tulimuona shehe ahadi kila alipo bashite yupo ila alipotumbuliwa kigamboni amemkimbia,kwao maslai ni Bora kuliko umma wauongozao
 
Ka
Kafiri ni Magufuli na Tundu lissu ni Ahalul Kitaab
Kama hujui uislamu Rudi madrasa ukajifunze
Ukafikiri wa magufuli ni pale anapojivisha sifa za KIMUNGU
Amenukuliwa akisema kuna watu hawastahili kua hai
Hio ni kauli ya kufru kwa hio magufuli ni kaffir
Lissu ni Mkristo Safi na mtu aliowahami maswahaba wakati wanateswa na makafiri kule Maka kama vile kaffir magu anavyo tutesa Sasa alikua ni king Nagash mkristo Safi
Waislamu wengi ni digital darasa la saba sio wengi
Waislamu wa haki tupo na ponda kura kwa Lissu
Waislamu wanafiki wapo na BAKWATA kura zao kwa yule katili Pombe
Et mie muislamu sala tano.
Wewe hunijui halafu unanihukumu
 
So ishu hapo ni maslai, kunufaika thus tulimuona shehe ahadi kila alipo bashite yupo ila alipotumbuliwa kigamboni amemkimbia,kwao maslai ni Bora kuliko umma wauongozao
Upo sahihi kabisa ni masuala ya masilahi tu na ndiyo maana hata mgombea urais Lissu nae alimsafisha Lowassa na kumpigia kampeni 2015 kwa ajili ya masilahi ya chama ingawa pengine nafsi yake haikuwa ikiridhia jambo hilo.
 
Kumbe Kafiri Lisu ndiye aliyeiunda Tume ya uchaguzi na ndiye anayetoa haki?
Kwani Sheikh Ponda wakati anawaambia mumpigie kura Kikwete yeye hakuwa anajua hayo masuala ya tume ya uchaguzi au kipindi hicho tume ilikuwa inatenda haki?

Sheikh Ponda pamoja na nyie mlishiriki katika kuweka utawala wa ccm 2010 na wakati watu wamekuwa wakilalamikia hiyo serikali ya ccm kutotenda haki,malipo yake wanayalipa masheikh wa uamsho sasa hivi.

Mie huwa sipigi kabisa kura wala kushabikia chama chochote na sio msukule wa huyo Sheikh Ponda.
 
Unasahau wale waislamu aliowapigania kule Magerezani wakatokabaada ya kubambikiwa kesi? Mbona hatukuona wewe wala masheikh wako wa Bakwata wala Magufuli wako kuwatetea ?
Lissu ni mwanasheria sasa kuna cha ajabu hapo?
 
We hujui unachokieleza au unafanya maksudi,Magufuli na Lissu wote ni wakristo na hivyo wote ni makafiri,na ndiyo maana hata huyo mfalme unayemueleza alikuja kusilimu na kuwa muislamu kwa sababu hakuna hicho kitu cha mkristo safi. Lissu ni kafiri tu hivyo usitake kujaribu kumpaka rangi hapa.

Nimetoa mifano miwili kuonesha unafki wa Lissu sasa sijui huo usafi anaupata vp?
 
Lissu ni Nasara au Mkristo au Masihuyiin Rudi madrasa ukajifunze tofauti ya kafiri na ahalul kitab
 
Endorsements imefanywa tayari na sheikh ponda....
Wale masheikh ni walaji wa kitimoto,wazinzi,wachawi(sheikh sharrif majibu),na wanafiki hata kama wangezungukunga nchi nzima kupinga kauli ya sheikh ponda bado Sisi watanzania tunajua ukweli uko wapi
Wewe mtakatifu hauna madhambi? Hizo chuki zaki dhidi ys wasiokubaluana na wewe sio dhambi?
 
Hakuna ambaye anatetea uvunjifu wa amani,bali watu wenye akili timamu wanazungumzia haki.Kuwakamata watu nakuwaweka kizuizini bila kufikishwa mahakamani nakuhukumiwa kwamujibu wa sheria za nchi kwako wewe unaona sawa?.Kwa hali hiyo unadhani ni wangapi wameonewa na hali ikiendelea hivi ilivyo unadhani ni wangapi pia wataendelea kuonewa?.Sasa kwa sura hiyo ndo maana watu wanaona kuna uonevu dhidi ya uislamu na lazima wahiusishe serikali kwasababu yenyewe ndio iliyopaswa kua ya kwanza kusimamia haki na sheria kupitia vyombo vyake.Sasa kinafanyika kinyume chake unadhani watu wanafikiriaje.
 
Mungu gani huyo unayemjua wewe asiyependa haki?..Husihusishe ujinga wako na Mungu.
Mnataka haki ee? Hamtoipata haki hiyo! Taifa hili la Mungu haliko tayari kuchomwa moto kwa ajili ya hiyo haki yenu mnayoitaka.
 
Lissu ni Nasara au Mkristo au Masihuyiin Rudi madrasa ukajifunze tofauti ya kafiri na ahalul kitab
Sijisikii kubishana masuala ya dini hapa.

Ahlul kitab ni mayahudi(walipewa Torati) na manaswara(walipewa Injili).

Haya niambie imani ya Lissu ni ipi?
 
Ajenda ya kwamba serikali ya tanzania inawaonea au kuugandamiza uislamu hii hoja haina mashiko na ni wapuuzi kadhaa tu ndiyo watakaokuunga mkono
 
Ni kumsikiliza ponda hao wakae na matamko yao ile kauli haifutiki hata wakae vikao vyote ingawaje huko mbele Ponda atakamatwa kwa kusingiziwa kutoa kauli za uchochezi yote hayo tunayafahamu...
Jamaa ni kama morrison mara zote anawapiga chini
 
Ni Nasara anaesoma injili
Nabii Isa alipoondoka watu walifarakana na kugawanyika,wapo waliyokuwa wakiamini Isa ni mtume tu na kuna ambao walikuja kuamini nabii Isa ni Mungu. Na wewe umesema Lissu ni mkristo safi na tunajua wakristo wanaamini kuwa Yesu(nabii Isa) ni Mungu.
 
Nabii Isa alipoondoka watu walifarakana na kugawanyika,wapo waliyokuwa wakiamini Isa ni mtume tu na kuna ambao walikuja kuamini nabii Isa ni Mungu. Na wewe umesema Lissu ni mkristo safi na tunajua wakristo wanaamini kuwa Yesu(nabii Isa) ni Mungu.
Nakushauri urudi madrasa
 
Hii point Sana,
Bakwata ni taasisi ambayo unaweza ukawa member wake au usiwe. Sasa inakuaje Bakwata ndio ihodhi mamlaka ya kuwasemea Waislam wote Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…