Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So ishu hapo ni maslai, kunufaika thus tulimuona shehe ahadi kila alipo bashite yupo ila alipotumbuliwa kigamboni amemkimbia,kwao maslai ni Bora kuliko umma wauongozaoBakwata hawawezi kufanya hivyo kwa sababu wataiuzi serikali hivyo lazima wakubali kwenda vile serikali inavyotaka,ni sawa na hawa wanasiasa ambako wakati mwengine wanaweza kuwa ana wanamtazamo tofauti na chama ila hawezi kupingana na chama hivyo inabidi kukubaliana na chama.
Et mie muislamu sala tano.Mimi ni muislamu Sala tano sooote tupo na Sheikh Ponda kura kwa Lissu
Waislamu wanafiki wapo na BAKWATA kura zao kwa yule katili Pombe
Kafiri ni Magufuli na Tundu lissu ni Ahalul KitaabAliyewafunga masheikh ni muislamu mwezako ambaye alipigiwa kura na waislamu kwa kuambiwa na Sheikh Ponda,sasa Sheikh Ponda anakuja tena kutuambia tumchague mtu mwengine ila safari hii anayetuambia tumchague ni kafiri.
Sasa hapo ndio najiuliza huyu kafiri ana nini hadi sie waislamu tumchague? maana huyu kafiri ni kama walivyo wanasiasa wengine tu wengi wanafki na hana tofauti na hao.
Huyu kafiri Lissu alituambia kuwa Lowassa ni fisadi ila baadaye anakuja kusema Lowassa sio fisadi na ndio maana hajashtakiwa alikula matapishi yake,sasa inakuaje Sheikh Ponda atuchagulie mtu mnafki kama huyu?ataweza kweli kutekeleza hiyo ahadi aliyoitoa kwa waislamu na huu unafki wake?
Huyu Lissu alisema ACT si chama cha upinzani kwamba kinatumika na serikali kuvuruga upinzani na akamtaja hadi Zitto kabwe kuwa anatumika na serikali hivyo si mpinzani,ila leo Lissu anashirikiana na ACT wakati alishasema kuwa hicho si chama cha upinzani bali kipo hapo kuuwa upinzani.
Sasa mtu kama huyo sie waislamu tumchague wa nini?
Wewe hunijui halafu unanihukumuEt mie muislamu sala tano.
Upo sahihi kabisa ni masuala ya masilahi tu na ndiyo maana hata mgombea urais Lissu nae alimsafisha Lowassa na kumpigia kampeni 2015 kwa ajili ya masilahi ya chama ingawa pengine nafsi yake haikuwa ikiridhia jambo hilo.So ishu hapo ni maslai, kunufaika thus tulimuona shehe ahadi kila alipo bashite yupo ila alipotumbuliwa kigamboni amemkimbia,kwao maslai ni Bora kuliko umma wauongozao
Kwani Sheikh Ponda wakati anawaambia mumpigie kura Kikwete yeye hakuwa anajua hayo masuala ya tume ya uchaguzi au kipindi hicho tume ilikuwa inatenda haki?Kumbe Kafiri Lisu ndiye aliyeiunda Tume ya uchaguzi na ndiye anayetoa haki?
Lissu ni mwanasheria sasa kuna cha ajabu hapo?Unasahau wale waislamu aliowapigania kule Magerezani wakatokabaada ya kubambikiwa kesi? Mbona hatukuona wewe wala masheikh wako wa Bakwata wala Magufuli wako kuwatetea ?
We hujui unachokieleza au unafanya maksudi,Magufuli na Lissu wote ni wakristo na hivyo wote ni makafiri,na ndiyo maana hata huyo mfalme unayemueleza alikuja kusilimu na kuwa muislamu kwa sababu hakuna hicho kitu cha mkristo safi. Lissu ni kafiri tu hivyo usitake kujaribu kumpaka rangi hapa.Ka
Kafiri ni Magufuli na Tundu lissu ni Ahalul Kitaab
Kama hujui uislamu Rudi madrasa ukajifunze
Ukafikiri wa magufuli ni pale anapojivisha sifa za KIMUNGU
Amenukuliwa akisema kuna watu hawastahili kua hai
Hio ni kauli ya kufru kwa hio magufuli ni kaffir
Lissu ni Mkristo Safi na mtu aliowahami maswahaba wakati wanateswa na makafiri kule Maka kama vile kaffir magu anavyo tutesa Sasa alikua ni king Nagash mkristo Safi
Waislamu wengi ni digital darasa la saba sio wengi
Waislamu wa haki tupo na ponda kura kwa Lissu
Waislamu wanafiki wapo na BAKWATA kura zao kwa yule katili Pombe
Wewe hunijui halafu unanihukumu
Lissu ni Nasara au Mkristo au Masihuyiin Rudi madrasa ukajifunze tofauti ya kafiri na ahalul kitabWe hujui unachokieleza au unafanya maksudi,Magufuli na Lissu wote ni wakristo na hivyo wote ni makafiri,na ndiyo maana hata huyo mfalme unayemueleza alikuja kusilimu na kuwa muislamu kwa sababu hakuna hicho kitu cha mkristo safi. Lissu ni kafiri tu hivyo usitake kujaribu kumpaka rangi hapa.
Nimetoa mifano miwili kuonesha unafki wa Lissu sasa sijui huo usafi anaupata vp?
Wewe mtakatifu hauna madhambi? Hizo chuki zaki dhidi ys wasiokubaluana na wewe sio dhambi?Endorsements imefanywa tayari na sheikh ponda....
Wale masheikh ni walaji wa kitimoto,wazinzi,wachawi(sheikh sharrif majibu),na wanafiki hata kama wangezungukunga nchi nzima kupinga kauli ya sheikh ponda bado Sisi watanzania tunajua ukweli uko wapi
Binafsi huwa nachukia sana mtu anaeingiza mambo ya dini kwenye utawala wa umma/serikali ama kuhusianisha siasa na dini. Serikali yetu hainaga dini ila wenye dini ni sisi wananchi, sasa habari za mashehe kuanza kuongelea siasa zinatokaga wapi?
Kazi yao ni kuhubiri neno la Mungu ili watu tumjue na kumtumikia Mungu, habari ya sijui serikali ya ccm imewafunga mashehe inatoka wapi, kama mtu unakiuka maadili ya nchi na kutaka kusababisha amani ya nchi kutoweka kwanini usichukuliwe hatua. Nakupa mfano tu maana naona umeegemea upande wa dini moja tu (uislam).
Hebu itokee hapa mhubiri yeyote wa kikristo iwe Gwajima, mwamposa, mwakasege au yeyote yule unae mjua wewe ambae ni mkristo alafu aanze kuhubiri maada ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa nchi, trust me nao watawafata mashehe huko huko segerea.
Serikali haiwezi kuvumilia watu ambao wanaweza kuivuruga aman ya nchi kwa kupandikiza sumu miongoni mwa waumini wao. sisi hapa tanzania hatupo kama Saudia arabia, ama Iran ama wapi huko kwingineko ambako Serikali inaongoza kwa misingi ya kidini, tanzania hatuko hivo kila mtu aabudu dini anayoijua yeye na wala hairuhusu kuibeza dini ya mwenzio, mtu dini yake anaijua yeye mwenyewe wewe uikosoe dini ya mtu unakuhusu nini.
Tumwabudu Allah wetu mmoja,tutende mema ila usikiuke misingi ya amani ya nchi yako
Mnataka haki ee? Hamtoipata haki hiyo! Taifa hili la Mungu haliko tayari kuchomwa moto kwa ajili ya hiyo haki yenu mnayoitaka.
Sijisikii kubishana masuala ya dini hapa.Lissu ni Nasara au Mkristo au Masihuyiin Rudi madrasa ukajifunze tofauti ya kafiri na ahalul kitab
Ajenda ya kwamba serikali ya tanzania inawaonea au kuugandamiza uislamu hii hoja haina mashiko na ni wapuuzi kadhaa tu ndiyo watakaokuunga mkonoHakuna ambaye anatetea uvunjifu wa amani,bali watu wenye akili timamu wanazungumzia haki.Kuwakamata watu nakuwaweka kizuizini bila kufikishwa mahakamani nakuhukumiwa kwamujibu wa sheria za nchi kwako wewe unaona sawa?.Kwa hali hiyo unadhani ni wangapi wameonewa na hali ikiendelea hivi ilivyo unadhani ni wangapi pia wataendelea kuonewa?.Sasa kwa sura hiyo ndo maana watu wanaona kuna uonevu dhidi ya uislamu na lazima wahiusishe serikali kwasababu yenyewe ndio iliyopaswa kua ya kwanza kusimamia haki na sheria kupitia vyombo vyake.Sasa kinafanyika kinyume chake unadhani watu wanafikiriaje.
Jamaa ni kama morrison mara zote anawapiga chiniNi kumsikiliza ponda hao wakae na matamko yao ile kauli haifutiki hata wakae vikao vyote ingawaje huko mbele Ponda atakamatwa kwa kusingiziwa kutoa kauli za uchochezi yote hayo tunayafahamu...
Sijisikii kubishana masuala ya dini hapa.
Ahlul kitab ni mayahudi(walipewa Torati) na manaswara(walipewa Injili).
Haya niambie imani ya Lissu ni ipi?
Nabii Isa alipoondoka watu walifarakana na kugawanyika,wapo waliyokuwa wakiamini Isa ni mtume tu na kuna ambao walikuja kuamini nabii Isa ni Mungu. Na wewe umesema Lissu ni mkristo safi na tunajua wakristo wanaamini kuwa Yesu(nabii Isa) ni Mungu.Ni Nasara anaesoma injili
Nakushauri urudi madrasaNabii Isa alipoondoka watu walifarakana na kugawanyika,wapo waliyokuwa wakiamini Isa ni mtume tu na kuna ambao walikuja kuamini nabii Isa ni Mungu. Na wewe umesema Lissu ni mkristo safi na tunajua wakristo wanaamini kuwa Yesu(nabii Isa) ni Mungu.
Jenga hoja ili nijue kuwa kati ya mimi na wewe ni nani afaa kurudi madrasa,ukiweza kunisahisha unapoona nimekosea nakubali kurudi madrasa.Nakushauri urudi madrasa
Hii point Sana,Halafu hawa Bakwata Mufti wao anachaguliwa na kikundi cha Bakwata baada ya hapo wanataka atawale wote badala ya kuwaongoza wao tu kama kweli tunatafuta kiongozi wa kuwakilisha waislamu wote kama Mufti basi mfumo wa kumchagua ubadilike, maana wako watu wana elimu kubwa na uwezo mkubwa wa kutetea maslahi ya waislamu wote. Huwezi kusema huyu ni shekh wa mkoa, huyu Mufti ila mnachaguwana wenyewe kama chama. hawa waitwe shekh mkuu wa bakwata wa mkoa, Mufti wa bakwata Tanzania hapo tutawaelewa.