Watoto wakishua bana! tembea uoneMaadhimisho ya siku ya choo!! Karne hii bado kuna watu wanahangaika na Vyoo? Aisee! safari ni ndefu sana
ππππππLeo ni siku ya wanaume duniani lakini siku hii imekuja wakati ambapo Kuna maadhimisho ya siku ya Choo.
Huko mitandaoni kashfa zimekuwa nyingi sana, hii siku imekosa thamani kabisa leo.
Kweli wanaume siku hizi tunapenda vyoo hasa vile vikubwa Ila hii ya leo imezidi.
Huku India ikiongoza kwa watu zaidi 732mik kutokua na vyoo.Maadhimisho ya siku ya choo!! Karne hii bado kuna watu wanahangaika na Vyoo? Aisee! safari ni ndefu sana!
Aisee kweli kama hujui,ingia Google search huko India,hii kitu ni shida sana..Maadhimisho ya siku ya choo!! Karne hii bado kuna watu wanahangaika na Vyoo? Aisee! safari ni ndefu sana!