Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi huko supa maket kuna nini vya ziada ambavyo havipatikanagi mtaani?
Juzi bhana kuingia Uchumi Supermarket ya pale Quality Center, nimenunua mavitu kedekede, aii kufikia pa kulipa si naambiwa natakiwa nilipie mifuko! Kulipia sio tatizo ila mtoe minembo yenu..:A S angry:
ni vile vilivyokaa kwenye mafriza kwa miezi sitaivi huko supa maket kuna nini vya ziada ambavyo havipatikanagi mtaani?
Una point mkuu. Kwa kweli watoe nembo zao hizo kabla ya kutuuzia. Hata TSN wameanza hiyo issue. Ila watasema mbona unanunua samsung na huombi kubadirishwa nembo.Juzi bhana kuingia Uchumi Supermarket ya pale Quality Center, nimenunua mavitu kedekede, aii kufikia pa kulipa si naambiwa natakiwa nilipie mifuko! Kulipia sio tatizo ila mtoe minembo yenu..:A S angry:
..nchi hii tunakurupukaga kufanya maamuzi, essence ya kuuzwa mifuko ni kupunguza matumizi ya plastic, shida huwa hatupewi elimu ya kutosha na alternative, nchi za ulaya e.g england, maduka kama Asda, tesco,aldi n.k huwa wanauza mifuko ya plastic, but huwa wana mifuko kama ya gunia ambayo ni re-usable, simply because wana mipangilio (plans) ya when n where to buy groceries, sisi kuingia supermarket ni jambo la sifa na tunaishia kununua vitu hata hatukuwaza kununua.
Mkuu hata mimi limenigusa sasa hivi nachofanya naenda na mfuko wangu
Wacha ujinga,we unajua nchi za ulaya tu hapa Africa, hizo mifuko za gunia sio kwa sababu ni re-usable kama hujui uliza, hizo ni kwa sababu ni disposal zinaoza ardhini haziitaji further treatment hata ukipiga moto yatosha. Hata hizo serikali yetu tulivu ina Microns elekezi kwa vifungashio na mifuko tunayotumia, kwa ujinga wetu tusibeze juhudi zinazofanywa na serikali.