Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Sio Mama tuu CCM nzima itupishe.Hayo tu yangetosha kumuweka mama pembeni
Hakuna palipo na nafuu.Kwanza wamelegeza ulitakiwa ukosekane hata mwaka 1 kila mahall ili akili ziwakae sawa wananchi iwe rahisi kufanya maamuzi
1 - umeme
2 - sukari
3 - dollar
4 - ufisadi
5 - elimu
Hayo tu yangetosha kumuweka mama pembeni
Ila kwa namna nawafaham wa-Tz maamuzi hawana!
Ulipoandika wazungu warudi ndipo ulipothibitisha upumbavu wako.Matajiri wanazidi kuwa nacho, masikini wanazidi kuwa fukara. Mimi nadhani wazungu warudu mana hata chadema changamoto zetu hawataziweza
Spika ametoa maelekezo mgao mwisho mwezi wa sitaMwisho wa mgao ni lini kwani?
Hao wananchi wanaojielewa watajengwa na serikali ipi? Au unamaanisha hii ya ccm inyojenga machawa kama wewe? Sasa Bora wazungu kuliko haya mafisadi na chawa kama nyie?Ulipoandika wazungu warudi ndipo ulipothibitisha upumbavu wako.
Ni lazima tujenge wananchi wanaojielewa na wenye fikra chanya.
Badilika kwa faida ya taifa na kumtukuza Mungu pia.
Huyo bibi wanapelekesha maninja, ongea na akina kikwete ndio anajiona mwenye nchi, namwonea huruma huyu Mzee, huu ulikuwa wakati wa kitubu, kuongoza inchi kwenye maendeleo ya kweli, lakini kenyewe ndio kwanza kanafurahi inchi inavyotafunwa na wahuni, inasikitisha sana!SAMIA Please usigombee Mama,, Siyo Vizuri mnayotufanyia.. ni Dhambi Kwa Mungu.
Sio Mama tuu CCM nzima itupishe.
Mega,tuheshimiane.Sio CCM tu, hata wewe ni sehemu ya Tatizo