Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

Hili la umeme ni ishara tosha kwamba serikali hii ni failure, haipaswi kurudi

Hao wananchi wanaojielewa watajengwa na serikali ipi? Au unamaanisha hii ya ccm inyojenga machawa kama wewe? Sasa Bora wazungu kuliko haya mafisadi na chawa kama nyie?
Tafadhali usinifananishe na chawa. Mimi ni mtu (binadamu) anayejielewa. Habari ya chawa ibaki kwa chawa hukohuko.
Nitamkubali na kufanya kampeni kwa mtu mwenye sifa na vitendo vyenye faida kwa jamii na taifa kwa ujumla (nikiwemo).
Atakuwa mtu wangu na mimi mtu wake na kamwe siyo chawa.
Hiyo serikali yafaa nini kama haina faida kwetu?
Tafakari na chukua hatua.
 
Hivi umeme unahitajika sana mijini majumbani hata zaidi ya viwandani ?
 
Mwanzo mlimlaumu january akaondoshwa saivi serikali nzima haifai ama kweli zitendwa mbali zilongwa mbali


Mdomo tumia kula kijana
 
Back
Top Bottom