Mi Naona Serikali inafanya Kazi kubwa Sana, Kuweka umeme na umeme haukatiki hata kidogo Hizo ni propaganda za Wapinzani tu..
Umeme upo 24/7..
Wanaosema hakuna Umeme wana nia Ovu na Mama na wapuuzwe 🤣🤣
Hao wananchi wanaojielewa watajengwa na serikali ipi? Au unamaanisha hii ya ccm inyojenga machawa kama wewe? Sasa Bora wazungu kuliko haya mafisadi na chawa kama nyie?
Tafadhali usinifananishe na chawa. Mimi ni mtu (binadamu) anayejielewa. Habari ya chawa ibaki kwa chawa hukohuko.
Nitamkubali na kufanya kampeni kwa mtu mwenye sifa na vitendo vyenye faida kwa jamii na taifa kwa ujumla (nikiwemo).
Atakuwa mtu wangu na mimi mtu wake na kamwe siyo chawa.
Hiyo serikali yafaa nini kama haina faida kwetu?
Tafakari na chukua hatua.