Hili la Wabongo kusuasua kwa maamuzi linakaa vipi

Sasa mnangoja nini?Si hii ni ile tz ambayo hata maamuzi yao wenyewe, yaani yale ya ndani kwa ndani nchini tz wanafanya kwa mwendo wa konokono?Maswala ya kimataifa wataweza kweli?Hao kwa fikra zao wanadhani maamuzi kama hayo ni yale walioyazoea,yaani yale ya mama ntilie na 'stock' kwenye kibanda chake!
 


Ndiyo tumeshaamua kwamba hatutaki EPA, hivyo Kenya, Uganda &Co. wanaweza kuendelea na kusaini EPA lkn TanZania yetu ni NOPE!
 
Ndiyo tumeshaamua kwamba hatutaki EPA, hivyo Kenya, Uganda &Co. wanaweza kuendelea na kusaini EPA lkn TanZania yetu ni NOPE!
Sasa unaandika kwa 'bold letters' kwani ulihusika kwenye maamuzi hayo?Si ni wazee wa karne iliyopita,sisiemu ambao wanawazingua kwa kukosa kuielewa dunia ya leo?Endeleeni na ushabik kwa wazee.Mtajiju wenyewe!Haitumii hataa,nikuwashangaa tu!Yetu macho tu jombaa!
 
Ulifukuzwa kwenu
 
Nani anakuchelewesha... Tanzania sio jimbo la Kenya na kama ni EAC si tayari mna COW !!!!!.......

Just move on coz you seems to know where you are heading to and its non of your concern to know if you 've left us behind
 
a
Kenya has higher political risk than Tanzania thus why Uganda prefer TZ to Kenya ,plus other related cost of project
 
Sio kalio tuuu. Hata ushoga kaukubali
 

Umeona tuna msimamo. Ha ha ha ha
Nilikwambia hata Kagame ilikuwa changa ya macho tu, kitu entertainment anapewa.
 
Kenya haikatazwi ku-negotiate EPA nje ya EAC block (EU EPA provisions allow that) kama vile Tanzania haikatazwi ku-negotiate na SADC kama tukiona tunapata raw deal! Hayo maua na chai isitufanye tukaingia mkenge kumbuka kuna immense potentials in Tanzania our govt is trying to tap from leather to agriculture to tyres manufacturing!

We can't have an equal footing with the EU n expect to survive! If Kenya believes can win the EU on open market for every goods then go ahead...
 
Kwanini Kenya haiwezi kufanya kitu Bila tz, Kwani sisi ni baba zanu? Kuna mmeona ni dili sana fanyeni wenyewe cc mtuache bn
 
Umeona tuna msimamo. Ha ha ha ha
Nilikwambia hata Kagame ilikuwa changa ya macho tu, kitu entertainment anapewa.

Hivi umeelewa ninachohoji kweli? Hebu rejelea na usome bandiko langu mara kumi halafu uje upya.
 
Iconoclastes, so far Uganda plus Rwanda have found a right partner in Tanzania! They r not regreting going south!

Kenya was offering a raw deal to both Uganda n Rwanda! Take example of a blockade on sugar, eggs n chicken from Uganda n a violation of BASA Agreement n 5th freedom right to Rwandair issued by Uganda btn Uganda n Kenya routes.
 
Maisha ya bongo ni matamu balaaaa, sasa masuala cjui ya kimataifa yanatusaidia nn cc wananchi wa Kawaida? Au mnafikiri wadhungu wanawapendeni saaana sio,
 
 
pingli-nywee, don't confuse btn konokono n not accepting the agreements! Tanzania has refused to sign agreements since the agreements do not fit them right..
 
Bongo maisha ni matamu kama unakazi yenye kipato kizuri...unakaa sehemu yenye huduma nzuri za kijamii mf maji safi,umeme na barabara nzuri ....tofauti na hapo maisha ni magumu mno
 
Bongo maisha ni matamu kama unakazi yenye kipato kizuri...unakaa sehemu yenye huduma nzuri za kijamii mf maji safi,umeme na barabara nzuri ....tofauti na hapo maisha ni magumu mno
Ndugu wakenya huko kwao ni choka mbaya sana we acha tu bongo kutamu sana ukiwa mjanja ulali njaa
 
Bomba lenyu ni mfano wa Kukurupuka. Poleni Nchi ya masikini na wakurupukaji eti "thinking on your feet "?
 
Hivi umeelewa ninachohoji kweli? Hebu rejelea na usome bandiko langu mara kumi halafu uje upya.

Nimekuelewa vizuri, sema nimekujibu ile topic ile kule kwa kutumia hii ktk kigezo hiki.
Turudi kwa topic.
Una negotiate ukiona negotians zako hazi make through unajitoa. Kama UK walivyonegotiate wakashindwa wameamua kujitoa. Hiyo haina maana kuwa huna msimamo, hiyo ndo ina maana unawezo wa ku stand kwa miguu yako.

On top if any, inawezekana je uwe na free market bila free movement ya watu? just curious to know. Wao wanakuja kupatia VIZA airport kwa kujaza tu jina na tarehe ya kuzaliwa kwenye ka form uchwara. Wewe omba sasa VIZA ha ha ha, samaki na ndizi zako zote zitaoza kabla hata yakupata VIZA.
Free market inaendana na free movement ya watu, unaenda kutafuta soko kwanza na wadau. Wao wangeanza kwanza kwa ku scrap VIZA watu wa roam EU bila viza, Just to say the least. Pili swala la standard la bidhaa liangaliwe upya, bidhaa zetu very hardly zita pass std yao wana visababu vingi mno vya kuzuia bidhaa zetu zisingie sokoni kwao.

Mwisho, tume negotiate tumeshindana, tumekataa ku sign mkataba wao, sasa hiyo ni weakness ama ni sehemu ambayo tuko strong? Nafikiri tungekuwa weak kama tungesaini harafu baadae tukaaanza kulalamika na kutaka kujitoa kama UK.

Kama chief Magungo alivyosaini mikata ya kilaghai akaja kulazimisha akina Mkwawa kupigana hadi kufa kwa kulalamikia hizo treaty. Hiyo ndo weakness, mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…