kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Reject trade deal with EU, East African countries warnedTotally expected, anything that resembles competing with stronger competitors is off limits to Bongolanders
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reject trade deal with EU, East African countries warnedTotally expected, anything that resembles competing with stronger competitors is off limits to Bongolanders
Sasa mnangoja nini?Si hii ni ile tz ambayo hata maamuzi yao wenyewe, yani ile ndani kwa ndani nchini wanafanya kwa mwendo wa konokono?Maswala ya kimataifa wataweza kweli?Hao kwa fikra zao wanadhani maamuzi kama hayo ni yale walioyazoea yale ya mama ntilie na 'stock' ya kibanda chake?
Sasa unaandika kwa 'bold letters' kwani ulihusika kwenye maamuzi hayo?Si ni wazee wa karne iliyopita,sisiemu ambao wanawazingua kwa kukosa kuielewa dunia ya leo?Endeleeni na ushabik kwa wazee.Mtajiju wenyewe!Haitumii hataa,nikuwashangaa tu!Yetu macho tu jombaa!Ndiyo tumeshaamua kwamba hatutaki EPA, hivyo Kenya, Uganda &Co. wanaweza kuendelea na kusaini EPA lkn TanZania yetu ni NOPE!
Ulifukuzwa kwenuAsante, japo ni kawaida yangu kujifunza lugha nyingi na kuziongea ipasavyo, kwa mfano ukinikuta kijijini wakati najadili masuala nyeti na wazee, huku tukitumia kilugha cha asili yangu cha Kikikuyu, utadhani naishi huko siku zote.
Hata Bongo nilijaribu sana kujifunza Kinyakyusa, Kihaya/Kinyambo na kadhalika.
Hilo la uraia, asante kwa ofa, lakini niliapa kamwe sitaihama nchi yangu, naipenda kwa dhati na haitotokea nibadilishe uraia. Japo napenda kutembelea maeneo mengi kwenye nchi za watu na kujifunza desturi zao kwa kina. Tanzania nimekatiza mikoa mingi sana, nina washikaji wengi sana humo.
Kuna vijiji Bongo ambavyo nikiwaibukia leo, itakua raha aisei, maana niliacha sifa nzuri huko.
Nani anakuchelewesha... Tanzania sio jimbo la Kenya na kama ni EAC si tayari mna COW !!!!!.......Kweli inauma maana mnatuchelewesha wakati ulimwengu wa sasa unataka mambo yafanywe kwa kasi, kwa kingereza tunaita "thinking on your feet", viongozi wenye uwezo wa kuangalia issue, kuwaza na kwa muda mfupi kufanya maamuzi yenye busara. Sio kila siku mnaibuka na "tutakutana tukae"
Halafu mnakosa maamuzi ya kueleweka, maana mnachokatalia leo, mnakikubali kesho halafu mnaghairi kesho kutwa tena mnakubalia mtondogoo, hicho hicho cha mwanzo. Tunaheshimu maamuzi yenu, haswa kama yanalenga kuwanufaisha Watanzania, lakini mfanye maamuzi na kuja na msimamo mmoja ambao unaeleweka na kutiwa muhuri. Lakini hili la leo hiki, kesho kile....
Huo mnaita uzalendo na umakini wenu kwenye kufanya maamuzi nina mashaka nalo maana nchi yenu bado inaliwa, mna madini lakini bado maskini kweli.
aUganda will regret its misguided decision in the coming years to break off the deal with Kenya and go with Tanzania.
For all these years he's been in power and dealt with the EAC, doesnt M7 already know how capricious these Tanzanians can be? Criusly?
Sio kalio tuuu. Hata ushoga kaukubaliMkuu, kumbuka pia kiingereza ni lugha iliyoletwa na mkoloni(mnyonyaji aliyefanya waafrica hatujiamini hadi leo), wakati wa ukoloni,
Kwaiyo kama mtu anadhani kuongea kingereza ni ujanja ama ndio kipimo cha uelewa huyo ni ******** na ni wazi mkoloni alifanikiwa kumshika kalio na anaendelea kumshika kalio hadi Leo..
Leo Wabongo wameghairi makubaliano baina ya EAC na EU. Inakua vigumu sana kutabiri ndugu zetu hawa, hata kama wana hoja ya msingi au la, tatizo wanakua vigeugeu hadi hawaaminiki kwa lolote. Leo wanakubali hiki, kesho wanaghairi, kesho kutwa wanakubali hicho hicho mtondogoo wanaghairi kile kile cha mwanzo.
Sasa sielewi itakua labda wanawatuma vi.laza kwenye hivi vikao wanaokwenda kushangaashangaa, au kingereza kinakua changamoto kwao. Maana makubaliano mengi sana ya EAC yanakwama kwa ajili ya hili tatizo la Wabongo kusuasua, watakuambia subiri tukakae wenyewe halafu tutakupa jibu, baadaye wanakubali, kabla hamjatulia wanaibuka na kukatalia.
Wengine tukipiga moyo konde na kuamua kufanya maamuzi, Wabongo wanalia ooh mnatutenga, ooh sasa hiyo CoW yenu haitokwenda bila Wabongo. Dah! shughuli sana.
Maisha ya bongo ni matamu balaaaa, sasa masuala cjui ya kimataifa yanatusaidia nn cc wananchi wa Kawaida? Au mnafikiri wadhungu wanawapendeni saaana sio,Sasa mnangoja nini?Si hii ni ile tz ambayo hata maamuzi yao wenyewe, yaani yale ya ndani kwa ndani nchini tz wanafanya kwa mwendo wa konokono?Maswala ya kimataifa wataweza kweli?Hao kwa fikra zao wanadhani maamuzi kama hayo ni yale walioyazoea,yaani yale ya mama ntilie na 'stock' kwenye kibanda chake!
Leo Wabongo wameghairi makubaliano baina ya EAC na EU. Inakua vigumu sana kutabiri ndugu zetu hawa, hata kama wana hoja ya msingi
au la, tatizo wanakua vigeugeu hadi hawaaminiki
kwa lolote. Leo wanakubali hiki, kesho wanaghairi, kesho kutwa wanakubali hicho hicho mtondogoo wanaghairi kile kile cha mwanzo.
Sasa sielewi itakua labda wanawatuma vi.laza kwenye hivi vikao wanaokwenda
kushangaashangaa, au kingereza kinakua changamoto kwao. Maana makubaliano mengi
sana ya EAC yanakwama kwa ajili ya hili tatizo la Wabongo kusuasua, watakuambia subiri tukakae wenyewe halafu tutakupa jibu, baadaye wanakubali, kabla hamjatulia wanaibuka na kukatalia.
You can't read between the lines wewe ni illiterate
Wengine tukipiga moyo konde na kuamua kufanya maamuzi, Wabongo wanalia ooh mnatutenga, ooh sasa hiyo CoW yenu haitokwenda bila Wabongo. Dah! shughuli sana.
Ndugu wakenya huko kwao ni choka mbaya sana we acha tu bongo kutamu sana ukiwa mjanja ulali njaaBongo maisha ni matamu kama unakazi yenye kipato kizuri...unakaa sehemu yenye huduma nzuri za kijamii mf maji safi,umeme na barabara nzuri ....tofauti na hapo maisha ni magumu mno
Bomba lenyu ni mfano wa Kukurupuka. Poleni Nchi ya masikini na wakurupukaji eti "thinking on your feet "?Kweli inauma maana mnatuchelewesha wakati ulimwengu wa sasa unataka mambo yafanywe kwa kasi, kwa kingereza tunaita "thinking on your feet", viongozi wenye uwezo wa kuangalia issue, kuwaza na kwa muda mfupi kufanya maamuzi yenye busara. Sio kila siku mnaibuka na "tutakutana tukae"
Halafu mnakosa maamuzi ya kueleweka, maana mnachokatalia leo, mnakikubali kesho halafu mnaghairi kesho kutwa tena mnakubalia mtondogoo, hicho hicho cha mwanzo. Tunaheshimu maamuzi yenu, haswa kama yanalenga kuwanufaisha Watanzania, lakini mfanye maamuzi na kuja na msimamo mmoja ambao unaeleweka na kutiwa muhuri. Lakini hili la leo hiki, kesho kile....
Huo mnaita uzalendo na umakini wenu kwenye kufanya maamuzi nina mashaka nalo maana nchi yenu bado inaliwa, mna madini lakini bado maskini kweli.
Hivi umeelewa ninachohoji kweli? Hebu rejelea na usome bandiko langu mara kumi halafu uje upya.