Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Kwani aliekamteua Jerry Muro nani? Alisema aliagiza wasiajiliwe alafu ye mwenyewe akampa ajira Jerry?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawambia hicho ni chama cha kuwatete wachagga Tanzania ..sio chama cha kisiasa hicho..hata wanaharakati wengi wa hichi chama ni wachagga..wanaukabila wa kishamba sana
Kweli kabisa amepotoka hasa chairman mmmh
 
Prof. Mkenda ni Msukuma naona. Urio wa NSSF naona ni msukuma. Mbowe sikuungi mkono tena. Nina marafiki zanguc12 ambao nimemaliza nao chuo na wapo TRA na Wizara ya Kilimo. Mbowe ana mtindio wa ubongo. Anaharibu kila kitu. Issue ya Uchaga inawakosesha kura kila siku. Yule jamaa wa FCC Mchaga aliyepandishwa Cheo na Magufuli naona ni Msukuma. Mbowe unaharibu image ya CHADEMA kwa siasa za kitoto na kipumbavu.
 
Lakin hata hivyo wachaga serikalin huko mmejaa Sana Mbee,na sifa yenu kubwa ni upigaji tuuh,kwani hamjatosheka tuuh jamaniii?wacheni ni wenzenu wafikiriweee,mnataka muwe nyinyi tuh kina massaWee??
 
Walimu wachaga wengi wametupiwa katavi na Tabor'skwa awamu ilopita
 
Magufuli hakuwachukia wachaga as such ila alipunguza kuwapendelea kama walivyozoea huko miaka ya nyuma na hawakupewa nafasi ya kubebana ikawauma sana. Wazoee mazingira yote hata sasa mama atakuwa v careful na hali hii kujirudia.
 
Tumia akili CRDB syo mali ya Umma
 
Dah!

Elimu yake ina relate na alichoongea kabisa.

Hili ndio tatizo la kuongozwa na kiongozi aliyezungusha makalai
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…