Hili la walimu kuchangishwa michango ya Mbio za Mwenge kwa lazima likomeshwe

Naufahamu kwakuwa niliacha
 
Acha kubweka wewe mpumbavu unajua nguvu aliyokuwa nayo mkuu wa idara, Das na DED WEWE ? unajua weakness iliyopo kwenye idara ya elimu wewe unaongea ypumbavu ukiwa einza? Hujui lolote kuhusu halmashauri mpumbavu wewe
Aisee!!, matusi ya kiasi hicho yanakujaje mkuu?

Hoja inapingwa kwa hoja na hilo ni dhihirisho la A civilised person.

Mwenzako katoa hoja basi mtandike kwa hoja na sio a foul mouth like that.
 
Naufahamu kwakuwa niliacha
Asitokee hapa mtu kwasababu tu yup kwenye chama au taasisi yoyote ya umma au binafsi akaleta sheet kuhusu watumishi wa umma bila kuishi huo mfumo atakuwa anadanganya. Nimuulize nondo angekuwa mwalimu huko marinyi angefanyaje? Nondo ulishawah kushiriki sherehe ya mai most?lengo la shetehe maazimisho yale nn? President appointee.kama DC Anakuja pale kumuakilisha nani? Unajua mabango ya siku ile yanaansikwa wapi? Ni kwa DSO Akishikiana na DAS? Nondo anajua haha?
 

Well said,

Kama wao hawaoni kua huu mchango ni tatizo kwa akili, elimu na uelewa walio nao, sisi ni nani tuwasemee! CWT wanatumbua mapesa yao wako kimya itakua hako ka mchango ka mwenge?

Tija ya Mwalimu Bank iwapi? Vitega uchumi majengo lukuki yanwanufaisha vipi?

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Naufahamu kwakuwa niliacha
Kama uliacha sawa. Ila ungekuwa umefukuzwa, ndiyo ungeona namna mchakato wake ulivyo mgumu.

Inaweza kuwa rahisi sana kwa mwajiri kumfukuza mtumishi wa umma, kwa makosa ya jinai. Ila siyo kwa kugomea kuchangia mbio za mwenge.

Hapo watu wanatishiwa tu nyau, na mwisho wa siku watumishi waoga watatoa, na wale wanaojiamini hawatatoa! Na hakuna chochote kitakacho watokea.
 
Nakubaliana nawe tate. But nano hawa MADED,DCS NA MADAC? Nano anawachgua na kwann
 
Mimi kws Upande wangu nina mtizamo tofauti kwa izoefu. Kwa HALMAMSHURI huko WILAYANI mkesha wa Mwenge ndio FIESTA yao, ndio mtoko wao, ndio SHEREHE KUBWA inayowakutanisha watumishi wa Kada zote katika Halmashauri kucheza, Kunywa, kufanya michezo nk.
Mind you fedha inayochangwa inatumika na Kamati zao wao wenyewe kwa ajili ya kununua chakula chao na Vinywaji vyao. PESA INAYOCHANGWA HAILIWI NA MWENGE bali hutumika kwa matumizi yao ya Kibinadamu wakati wa Mkesha ikiwemo kukodi Mahema, Kuleta Msanii Mkubwa Eg.Mbosso, kukodi PA Mziki mnene CD 700, Kuleta Wachekeshaji Eg Braza K.
Sasa sisi tuliopo Dar kinachotuwasha ni kipi, sie tuna mitoko ya Fiesta, Mara Mechi Taifa, Mara Beach Kidimbwi nk nk yaani kila siku ni sherehe.
Tuacheni Watumishi nao watumie Mwenge kama sehemu ya Kujitoa Out na tuelewe kuwa MWENGE HAUTAFUNI PESAAAA na bajeti yake haitoki mawilayani wala haimtegemei mwalimu wala nesi. Hiyo michango yao ni maandalizi yao wao kwa matumizi yao.
 

Mwenge haujawahi kuwa na tija kwa nchi.
Pia nao ukomeshwe, upelekwe kwenye makumbusho ya taifa.
 
 
Tate mkuu
Nilifanya hayo yote nikiwa huko Halmshauri my 10 yrs nikiwa mtumishi nayajua na nimeptia mengi mkuu. Tusikutane jf watu wajifanye hapa kama ni new mesia nw huyu hajawahi kuyapitia
Kuwa ulifanya hayo au ulipitia haihalalishi kuwa kinachofanyika ni halali. Hao hao walimu wenye maslahi duni bado wanaendelea kunyonywa kila uchwao.

Upuuzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…