Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Ni ngumu sana tena sana kukutana na bikra Leo hii hili jambo kiukweli linanichefua sana tena sana na hii ni ngumu kukutana na bikra kwa upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo ni ngumu asilani abadani yaani umkute mwanamke bikra wa kikristo hilo ni mwiko kabisa tofauti na kukutana na bikra kwa wanawake wa kiislamu huko kusema ukweli bikra zimejazana sana tena sana
Wakristo tubadilike mbona mary alikuwa bikra? Sisi tunafeli wapi? Mbona wenzetu waislamu bikra ni nyingi sana?
Busu la Kenge
Wakristo tubadilike mbona mary alikuwa bikra? Sisi tunafeli wapi? Mbona wenzetu waislamu bikra ni nyingi sana?
Busu la Kenge