Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
he he he! naishi na wa dini yako, huko ndiko usiombe,...naishi nao, nawaona...wanafundishwa hata namna ya kukata viuno wakiwa wadogo...eti kavunja ungo.... kuna ngoma mahsusi ya uchafyu huo....upande wa hii dini yetu pendwa ya kikristo
Muonekano kwa mwanaume una saidia kitu gani?Ukute wewe hata si Mkristo, hata muonekano huna.