Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Sasa kumbe wewe umenielewa. Ningekuwa naweza ningepost picha yake hapa tukiwa swimming last week na vinyweleo vyake mikononi na juu ya kitovu. Sipendi
vinakera kweli. Vinaondoa ule usoft. Unajua ukishika mkono wa mwanamke hata gizani inabidi ujue ni wa mwanamke kwa ule usoft wake. Sasa hivi vinyweleo vinaondoa ule usoft kabisa.
Huyo mpeleke akafanye wax au mshauri afanye mwenyewe. Anakaa miezi miwili ukiwa unaenjoy usoft wake. Na vikianza kuota vinaota upya vizuri na wakati mwingine hata visiwe vingi kama awali.
 
Ngoja niisake hiyo video nitazileta humu wakuu [emoji3] Tanzania hatugeuki bhana
 
Sasa bomu gani linatengenezwa hapo mkuu? Mbona mnapenda kuyafanya maisha yawe magumu sana aise?
Tatizo la wahenga wenzangu wanawaza maisha yao yale ya miaka ya 90 kurudi nyuma,siku hizi mambo yamebadirika,enzi zetu kuona mwanaume kafuga Rasta ilikuwa uchuro,kila mtu atashangaa,siku hizi watoto wetu wa kiume wanafuga Rasta,wanakuwa na kazi nzuri tu madokta,wafanyabiashara,wahandisi,waanaheshimika kwenye jamii,na wanakuwa family people sana tu,
 
Na kutokufanya hivyobwala sio ushamba, hao wafanyaji ndio mapunguwani. Haiwezekani ukaweke sehemu hako ya siri akunyoe, tena umlipe nasikia ni 70 elfu? Utasemaje huyi mzima kichwani.
Watu wanataka k iwe na ngozi kama ya mtoto
 
Zamani kuna makabila kama wazaramo, wamama walikua wanatumia majivu yenye moto kumnyoa mwanamke aliepevuka ili ma**zi yasiote.
 
Zamani kuna makabila kama wazaramo, wamama walikua wanatumia majivu yenye moto kumnyoa mwanamke aliepevuka ili ma**zi yasiote.
Kwann walikuwa wanawatesa hvyo wakat dawa ya kuyazuia anayo huyo mpevukaji mwenyewe?
 
Wengi wa haya mambo Ni wapenda kuachia maungo yao wazi so wanahisi hawawezi kujiwax wenyewe ili wapendeze Ni lazma wafanyiwe. Maana mganga hajigangi
 
Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.

Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
Hii Mimi pia nafanya Ni nzuri japo Ina maumivu nayo
 
Back
Top Bottom