Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
kufanyiwa wax ni mojawapo ya huduma, kuna watu wanaenda kabisa kusomea hivi vitu.Kimaadili kulingana na miongozo ya vitabu vya Dini(kama unaviamini lakini), kuangaliana sehemu za siri watu wa jinsia moja si vizuri isipokuwa kwa sababu maalum(mf Kitabibu).
Hekima yake mojawapo ni kufichiana aibu.
Je, wewe Simara unalichukuliaje hili la kuangaliwa kila mara na mwanamke mwenzako?
Mimi Nachukulia ni mojawapo ya huduma ni kama ningeenda hosp n.k
Kwangu mimi haina shida, narudia tena kuna vitu unafanya mimi naweza kuvishangaa sana na kutovifanya , ndiyo maisha yalivyo!! Haimaanishi sababu wewe unafanya dhambi tofauti na yangu basi wewe ni mwema, hapana.