Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Mimi nilikuwa nikifanya nafanya tena baada ya 6 weeks ambayo ni mwezi na nusu. Ila sasa hivi naenda hadi miezi miwili na zaidi. Hapa inategemea na speed yako ya kukuwa kwa nywele. My friend yeye sasa hivi anafanya mara tatu tu kwa mwaka.

Unajua kwanini? Ukifanya waxing unang'oa nywele kabisa na kadri unavyorudia rudia unakuwa unadhoofisha root ya zile nywele hivo zitaanza kuota pole pole na wakati mwingine zinaacha kuota kabisa. (Hususani zile zinazoota maeneo yasiotakiwa).
Natamani ndevu zangu nizitengeneze mazingira haya aiseee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe wewe ni eksipati wa waxing.

Ahsante kwa muongozo, ila mnaipeleka sayari puta puta sana!

Hata kama ndio wanafanya hivyo, wataendelea kubuni vitu vipya ambapo athari zake sio njema kabisa

Mmechelewa kujua Mkuu ni kitu kinafanyika muda mrefu


Binafsi mwaka wa tano huu nafanya wax na hakuna athari zozote
 
Naogopa hukumu ya kukuingiza kwenye hayo matendo😃😃😃😃
Marko 9:42
“Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini."
Hallelujah!!
 
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!

Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia

Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.

Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.

Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Tunaiga wazungu. Kila anachofanya mzungu Kwetu sawa tu. Wengi wetu hatujui kama asillimia kubwa ya hawa wazungu ni mashetani watu.
 
Back
Top Bottom