Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Kwahiyo sababu yanafanyika tuendelee kushabikia vichocheo[emoji848]
Weeee nawe [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Usishabikie pia isikusumbue kichwa, fanya kama huoni....hii dunia ina giza nene sana
 
Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.

Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
Huu uzungu kweli kweli
 
Back
Top Bottom