Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!

Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia

Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.

Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.

Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Lololoh!
 
Mama D..unajua vyuma vimekaza Sana..Sasa mkianza kutuminya na huku hii nchi itakua Haina ladha yaan ni kama Korea kaskazin Sasa acheni watu was injoiii umaskin jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama D..unajua vyuma vimekaza Sana..Sasa mkianza kutuminya na huku hii nchi itakua Haina ladha yaan ni kama Korea kaskazin Sasa...achen watu was injoiii umaskin jaman.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yatokanayo yanatisha mkuu. Kuna kundi la wale wadada wa kusaga limeingia kwenye hii mambo.

Sitaki kuandika zaidi mimi, Mungu nusuru kizazi chetu
 
Sasa bomu gani linatengenezwa hapo mkuu? Mbona mnapenda kuyafanya maisha yawe magumu sana aise?
Ukifikiri sana utaona mleta hoja hana hoja.

Sishabikii hili lakini kuna nini kipya hapa?

Unaogopa hitimisho kuwa mtu ataliwa?

Bila hizo waxing hawakulani?

Je wanaofanya na kufanyiwa ni watoto?

Usitishwe na usodoma waliojichagulia watu wazima hata waxing isipofanyika hilo unaloona ni janga hufanywa kila uchao.
 
Kwahiyo sababu yanafanyika tuendelee kushabikia vichocheo🤔
Weeee nawe 🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom