Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Ila wax ya kwenye papuchi na kwapa inauma jamani. Bora ya bikini line au vinyweleo.
Halafu cjui kwanini kuna ka-image fulani hivi kashajengeka akilini na kanaji-rewind rewind eti akili iki-assume ndivyo palivyo 😀 !Ndio ni palaini. Si unajua sukari inavyolainisha? +vile vinywele vinakuwa vimeondoka vyote kama ya mtoto![]()
![]()
![]()
Mimi nilikuwa nikifanya nafanya tena baada ya 6 weeks ambayo ni mwezi na nusu. Ila sasa hivi naenda hadi miezi miwili na zaidi. Hapa inategemea na speed yako ya kukuwa kwa nywele. My friend yeye sasa hivi anafanya mara tatu tu kwa mwaka.Inachukua muda gani mpka kufanya tena waxing!? Yaan ukifanya waxn leo, n itakaa kipind gan mpk kufanya waxn nyngne.
Sjui nmeeleweka hili swal meuliza [emoji6]
Tupatane PM.Halafu cjui kwanini kuna ka-image fulani hivi kashajengeka akilini na kanaji-rewind rewind eti akili iki-assume ndivyo palivyo 😀 ! Ila we Hannah mwongo, dah!! Bila kapicha, sikuamini wala nini!!
Siku hizi hakuna sehemu za siri🤔
Yaani naja ndani ya dakika kadhaa ili mradi nisikute makomeo na makufuli ya shaba!!Tupatane PM.
Lete kapicha tuone mfano wake.Mimi nilikuwa nikifanya nafanya tena baada ya 6 weeks ambayo ni mwezi na nusu. Ila sasa hivi naenda hadi miezi miwili na zaidi. Hapa inategemea na speed yako ya kukuwa kwa nywele. My friend yeye sasa hivi anafanya mara tatu tu kwa mwaka.
Unajua kwanini? Ukifanya waxing unang'oa nywele kabisa na kadri unavyorudia rudia unakuwa unadhoofisha root ya zile nywele hivo zitaanza kuota pole pole na wakati mwingine zinaacha kuota kabisa. (Hususani zile zinazoota maeneo yasiotakiwa).
Ingekuwa kama ukifanya hyo hazioti tena sawa. ila kama zinarudi si bora mtu atumie veet tu.
Mimi nilikuwa nikifanya nafanya tena baada ya 6 weeks ambayo ni mwezi na nusu. Ila sasa hivi naenda hadi miezi miwili na zaidi. Hapa inategemea na speed yako ya kukuwa kwa nywele. My friend yeye sasa hivi anafanya mara tatu tu kwa mwaka.
Unajua kwanini? Ukifanya waxing unang'oa nywele kabisa na kadri unavyorudia rudia unakuwa unadhoofisha root ya zile nywele hivo zitaanza kuota pole pole na wakati mwingine zinaacha kuota kabisa. (Hususani zile zinazoota maeneo yasiotakiwa).
[emoji16][emoji16] binafsi pia sikuona shida yoyote aisee. Maana ni huduma kama huduma nyingine na hiari sio lazimaSasa bomu gani linatengenezwa hapo mkuu? Mbona mnapenda kuyafanya maisha yawe magumu sana aise?