Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Maviwembe na hizi shaving creams nishaachaga huko siku nyingi sana. Sitamani hata.
Mimi naona inauma tofauti na nikifanya ya vinyweleo. Nikiwa naanza nilifanya ya kwapa. Hehehe kwapa lilikuwa linatiririsha jasho kama bomba kwa kuogopa.

[emoji2][emoji2][emoji2] pole mimi nishazoea nadhani au sio muoga
 
anasuguliwaje sasa! tatizo mnaongelea kitu ambacho hamkijui.

anakupaka na kistick anachukua kitambaa anabandika anatoa nywele

anakusugua wapi hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe wewe ni eksipati wa waxing.

Ahsante kwa muongozo, ila mnaipeleka sayari puta puta sana!

Hata kama ndio wanafanya hivyo, wataendelea kubuni vitu vipya ambapo athari zake sio njema kabisa
 
Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.

Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
"Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave"

Mm naomba unifanyie hivyo kwenye ndevu zangu kwa kutumia hio nta ya sukari
 
Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.

Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
Kumbe....basi itabidi hawa warembo wangu niwalipie wakafanyiwe hii waxing. Na kwenye tigo nayo wanafanya?
 
Back
Top Bottom