Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Saloon au salon?
 
Kama huamini vile!!!
Ilibidi nianze kutafuta ukweli, daaah mpaka tayari nishaconnect wauzaji wa wax. Mimi ntam wax mama watoto asiende huko.

Sijajua kuhusu sehemu nyingine duniani ila kwa Tanzania inadaiwa kuwa wahusika wengi wa hii kazi na wateja wao ( inawezekani sio wote) ni wale wenye kufanya kazi za blender

Sasa kichaka kimepatikana
 
Bomu anatangeneza mtu, not group of people, kama yanakupendeza kafanye, Kama hutaki hahakuhusu, get off mobs.
 
Bomu anatangeneza mtu, not group of people, kama yanakupendeza kafanye, Kama hutaki hahakuhusu, get off mobs.

Hakuna anayelazimisha wala kukataza; ila pia huu ni mjadala ambao yoyote yuko huru kuchangia, kutoa maoni kwa kushauri na kuelimisha bila makatazo wala makasiriko
 
Sijajua kuhusu sehemu nyingine duniani ila kwa Tanzania inadaiwa kuwa wahusika wengi wa hii kazi na wateja wao ( inawezekani sio wote) ni wale wenye kufanya kazi za blender

Sasa kichaka kimepatikana
Asee, inawezekana kweli
 
Hakuna anayelazimisha wala kukataza; ila pia huu ni mjadala ambao yoyote yuko huru kuchangia, kutoa maoni kwa kushauri na kuelimisha bila makatazo wala makasiriko

Anayefanya hayo ni Malaya and never an ordinary person, ni mtu asiyekuwa na heshima na hafai kwenye jamii iliyostaarabika.

Sasa utataka tuanze kujadili uhalali wa Malaya kufanya umalaya? Labda kama ni mjadala wa kukemea Umalaya. Maana hao ni Sawa tu na wale wa corner Bar.

Jaman kuna vitu vya kujadili, toka Enzi za Biblia Quran na kila kitu, mwanamke Ana uthaman katika kujisitiri. Nini cha kujadili hapo? Makahaba!????
 
Zile zinazoitwa viungo vya uzazi
πŸ˜‚πŸ˜‚

Dunia imekuwa ya hovyo sana..

Na hakika miaka kumi ijayo kuna watu wataanza kutembea uchi road,, kama hadi mtu kutoa Vuzi anaona akatolewe,, hakika Maisha yakuwa magumu...

Na hizo huduma watoa huduma ni masela au akina Dada?
 
Nar
Hakuna anayelazimisha wala kukataza; ila pia huu ni mjadala ambao yoyote yuko huru kuchangia, kutoa maoni kwa kushauri na kuelimisha bila makatazo wala makasiriko
Naruhusiwa kuupamba huu uzi kwa vipicha..?
 
Yanafanyika bongo hii hiii

Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20

Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
Mmm! mama D na wewe sasa hatare mwakwetu!! ndo yamekuwa hayo tena??any way km ni waaminifu sawa!! tatizo kuomba omba!
 
Sioni tatizo kabisa. Tatizo liko kichwani mwako.
 
hivi ukienda Labour ward na Msitu hihaa!! na tumbo kubwa hilooo!!! na huko chini hufiki!! mme kala kona, unaishi mwenyewe sinza!! house boy wako ni mdogo!! hapo wale ma Nurse wanafanyagaje km hivi kwakweli??

wakikuacha mtoto atalamba msitu utamkata kata!! wataambiwa wao ni wazembe!! hata kufukuzwa kazi!!.. ...msaada u wapi na .ufanyeje sasa bila saloon hizi?? ila tu wawe wamesajiliwa na leseni wawe nazo viapo vya uaminifu!

Na askari mgambo awe mlangoni hapo kuangalia usalama!
 
Usalama gan tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…