Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saloon au salon?Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Kama huamini vile!!!Ya kweli haya ama?
Kama huamini vile!!!
Ilibidi nianze kutafuta ukweli, daaah mpaka tayari nishaconnect wauzaji wa wax. Mimi ntam wax mama watoto asiende huko.
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia
Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.
Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.
Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
Bomu anatangeneza mtu, not group of people, kama yanakupendeza kafanye, Kama hutaki hahakuhusu, get off mobs.
Asee, inawezekana kweliSijajua kuhusu sehemu nyingine duniani ila kwa Tanzania inadaiwa kuwa wahusika wengi wa hii kazi na wateja wao ( inawezekani sio wote) ni wale wenye kufanya kazi za blender
Sasa kichaka kimepatikana
Hakuna anayelazimisha wala kukataza; ila pia huu ni mjadala ambao yoyote yuko huru kuchangia, kutoa maoni kwa kushauri na kuelimisha bila makatazo wala makasiriko
Zile zinazoitwa viungo vya uzazi
😂😂
Naruhusiwa kuupamba huu uzi kwa vipicha..?Hakuna anayelazimisha wala kukataza; ila pia huu ni mjadala ambao yoyote yuko huru kuchangia, kutoa maoni kwa kushauri na kuelimisha bila makatazo wala makasiriko
Mmm! mama D na wewe sasa hatare mwakwetu!! ndo yamekuwa hayo tena??any way km ni waaminifu sawa!! tatizo kuomba omba!Yanafanyika bongo hii hiii
Kunyoa makwapa kuanzia elfu 20
Kunyoa kipochimanyoya kuanzia elfu 70
Inauma balaa, ila baadae angalau maumivu yanapoa kidogo.Ila wax ya kwenye papuchi na kwapa inauma jamani. Bora ya bikini line au vinyweleo.
Usalama gan tena?hivi ukienda Labour ward na Msitu hihaa!! na tumbo kubwa hilooo!!! na huko chini hufiki!! mme kala kona, unaishi mwenyewe sinza!! house boy wako ni mdogo!! hapo wale ma Nurse wanafanyagaje km hivi kwakweli??
wakikuacha mtoto atalamba msitu utamkata kata!! wataambiwa wao ni wazembe!! hata kufukuzwa kazi!!.. ...msaada u wapi na .ufanyeje sasa bila saloon hizi?? ila tu wawe wamesajiliwa na leseni wawe nazo viapo vya uaminifu!
Na askari mgambo awe mlangoni hapo kuangalia usalama!
Madini ya watoto hayo hayachezewi hovyo!!Usalama gan tena?
Hayachezewi bali yana hudumiwa kwa kupendezeshwaMadini ya watoto hayo hayachezewi hovyo!!