Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Yaani najaribu kupiga picha jinsi kwapa lako lilivyo... yaani laiiiiini!

Sema mi nae niache unafiki na urongo... eti kwapa dah! Hilo la kwamba eti kwapa mi nimesingizia tu kwa kweli klakini akili yangu ipo kwingine kabisa... aaaargh!!
 
Sawa itasimama lakini kazi ikiaanza lazimailale[emoji23]
 
Waxing - Lesson 101😜
 
Ikili ipo wapi eti?
Ila huo uongo wako ni wa kweli.
 
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Inawezekana hawana wenzi wa kuwanyoa
 
Brazil kuna wanaume wanapeleka wake zao kwenye majumba ambayo kuna wanaume wamaojua kugegeda na kulizisha na mumewe anakuwa anamsubir mkewe kwenye sebule ya receiption akiwa anasoma gazeti

Dunia inaenda kasi sana

Dar kuna hela za bure kwel,elfu 70 mtu anaitoa kwa huduma ndogo kama hii.

Ndo maana hata madogo wenye vigodoro na mapovu wanaosafisha magari wanapiga mpaka elfu 30 kwa siku hii pesa ambayo mwalimu wa shule za serikali hawez ifikisha
 
Sawa itasimama lakini kazi ikiaanza lazimailale[emoji23]
Haiwezi kufanyika kazi nyingine, itabidi kwanza tusolve hili tatizo lililojitokeza ghafla.

Unataka kwenda nanjilinji, unapakia nguo unaona begi limechanika, utabeba nguo kwenye buti begi ukashonee nanjilinji, hapana, unashona begi kwanza kisha safari inaendelea. [emoji23]
 
Tena nje ya utaratibu na nje ya mipango
HATARI sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…