antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Mrembo,Inavyouma hata huo mnara hauwezi kusimama. Kuwa na amani nipe tenda hiyo.
tenda ntakupa ila ujue tu mnara utakuwa ngangari tangu mwanzo kabisaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo,Inavyouma hata huo mnara hauwezi kusimama. Kuwa na amani nipe tenda hiyo.
Yaani najaribu kupiga picha jinsi kwapa lako lilivyo... yaani laiiiiini!Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.
Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
Sawa itasimama lakini kazi ikiaanza lazimailale[emoji23]We acha masihara, kidume lazima mnara uende hewani, we wakati unaanda vifaa ukashika mjegejo kwa mkono laini unadhani dunguso halitoenda dede, na sisi kusimamisha mnara si shida wala nini, naweza kile kitendo cha kukuona tu, labda ugonjwa wangu lipsi [emoji182] nawe ndio unazo nipendazo mimi, basi akili ikihama kidogo tu, dudukila lazima liinuke, hapo bado hujashika shika wakati unabandika ile ishu. [emoji23]
Sawa nipe tenda si hizo ni changamoto za kazini. Mnara ukiinuka nitaongea nao uache fujo.Mrembo,
tenda ntakupa ila ujue tu mnara utakuwa ngangari tangu mwanzo kabisaa!
Waxing - Lesson 101😜Mimi nafanya local ya nta ya sukari. Hiyo nyingine inakuwa kama ni gundi hivi unaipaka unaweka kitambaa juu unabandua. Inang'oa nywele from the root inaanza kuota upya tofauti na uki shave na wembe au shaving creams hizi nywele haioti upya inaendelea pale ulipoikatia na inakuwa kali inatoboa toboa.
Ila ukifanya wax nywele haichomozi kabisa hadi wiki nne hadi 6 na inakuwa laini.
Ikili ipo wapi eti?Yaani najaribu kupiga picha jinsi kwapa lako lilivyo... yaani laiiiiini!
Sema mi nae niache unafiki na urongo... eti kwapa dah! Hilo la kwamba eti kwapa mi nimesingizia tu kwa kweli klakini akili yangu ipo kwingine kabisa... aaaargh!!
Yangu tayari huku!!Sawa itasimama lakini kazi ikiaanza lazimailale[emoji23]
Inawezekana hawana wenzi wa kuwanyoaSijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!
Akili yangu ilikuwa ina-fantasize kunako kwa tunda pendwa, Hannah!Ikili ipo wapi eti?
Ila huo uongo wako ni wa kweli.
Ndio ni palaini. Si unajua sukari inavyolainisha? +vile vinywele vinakuwa vimeondoka vyote kama ya mtoto[emoji23][emoji23][emoji23]Akili yangu ilikuwa ina-fantasize kunako kwa tunda pendwa, Hannah!
Haiwezi kufanyika kazi nyingine, itabidi kwanza tusolve hili tatizo lililojitokeza ghafla.Sawa itasimama lakini kazi ikiaanza lazimailale[emoji23]
Haiwezi kufanyika kazi nyingine, itabidi kwanza tusolve hili tatizo lililojitokeza ghafla.
Unataka kwenda nanjilinji, unapakia nguo unaona begi limechanika, utabeba nguo kwenye buti begi ukashonee nanjilinji, hapana, unashona begi kwanza kisha safari inaendelea. [emoji23]