Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?


c.c GENTAMYCINE

 
Ndio ni palaini. Si unajua sukari inavyolainisha? +vile vinywele vinakuwa vimeondoka vyote kama ya mtoto
Halafu cjui kwanini kuna ka-image fulani hivi kashajengeka akilini na kanaji-rewind rewind eti akili iki-assume ndivyo palivyo 😀 !

Ila we Hannah mwongo, dah!

Bila kapicha, sikuamini wala nini!
 
Inachukua muda gani mpka kufanya tena waxing!? Yaan ukifanya waxn leo, n itakaa kipind gan mpk kufanya waxn nyngne.

Sjui nmeeleweka hili swal meuliza [emoji6]
Mimi nilikuwa nikifanya nafanya tena baada ya 6 weeks ambayo ni mwezi na nusu. Ila sasa hivi naenda hadi miezi miwili na zaidi. Hapa inategemea na speed yako ya kukuwa kwa nywele. My friend yeye sasa hivi anafanya mara tatu tu kwa mwaka.

Unajua kwanini? Ukifanya waxing unang'oa nywele kabisa na kadri unavyorudia rudia unakuwa unadhoofisha root ya zile nywele hivo zitaanza kuota pole pole na wakati mwingine zinaacha kuota kabisa. (Hususani zile zinazoota maeneo yasiotakiwa).
 
Lete kapicha tuone mfano wake.
 

Nmevutiwa saana na hii huduma, usaf pia n urembo.

Nashukuru kwa ushrkiano.😊
 
Sasa bomu gani linatengenezwa hapo mkuu? Mbona mnapenda kuyafanya maisha yawe magumu sana aise?
[emoji16][emoji16] binafsi pia sikuona shida yoyote aisee. Maana ni huduma kama huduma nyingine na hiari sio lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…