Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Unapotosha umma jmn dada
Waxing yenyewe hujawahi fanya
Yaani huyo Dada ni muongo na baadhi wa watu wanamuamini[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapotosha umma jmn dada
Waxing yenyewe hujawahi fanya
Ilike bikini😋Mtoa mada acha upotoshaji waxing ni moja ya hair removal techniques . Na watoa huduma wanafanya kazi yao vizuri tu
Na nywele zinachelewa kukua ndio sababu watu wanaipenda zaidi though it is painful especially bikini waxing
Huko spa ulishasikia wananyolewa kwa kusuguliwa???
Binafsi i prefer waxing na ninafanya underarms , bikini , full arms and full legs
Mfanya massage mwenyewe kavaa skin na shanga zipo nje nje hiv hapo kuna usalama kweli? Ama ndio ile wanasema na happy end?Jamani hivi vitu vipo kumbe, wanaume wenzangu twendeni tukawape sapot watanzania wenzetu..
Kwa mwez mara moja tu inatosha..View attachment 2169295
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Jamaa iko wapi hiyo saluni nami niende kupata hiyo huduma adhimu?
Ookeee...kumbe ni za kike tu? Nilijua za kiume pia zipo nipeleke 1200 yangu ikapate hudumaSpa nyingi mkuu sema ninazozijua mimi nyingi za kike . Kuna gyverspa mikocheni, the bluebelly spa victoria, heaven beauty spa upanga hizo chache ila zipo nyingi sana
Anamwaga nini?.
Sijui naomba ufafanuziHujui mwanamke huwa anamwaga nini?
Thank youMtoa mada acha upotoshaji waxing ni moja ya hair removal techniques . Na watoa huduma wanafanya kazi yao vizuri tu
Na nywele zinachelewa kukua ndio sababu watu wanaipenda zaidi though it is painful especially bikini waxing
Huko spa ulishasikia wananyolewa kwa kusuguliwa???
Binafsi i prefer waxing na ninafanya underarms , bikini , full arms and full legs
Andaa vifaa vyako vya kazi na vya imejensi, tenda ushapata.Sawa nipe tenda si hizo ni changamoto za kazini. Mnara ukiinuka nitaongea nao uache fujo.
Sio kosa kama hapotoshi ukweliWapo wengi wanaoongelea mengi ambayo hawajawahi kuyafanya
Sio kosa mwanaume kuongelea uchungu wa kuzaa japo hajawahi ingia leba na kuzaa kwa uchungu
Kweli hauzuiwiKweli sijawahi wax mimi🤣🤣🤣🤣🤣
Ila haizuii kuongelea waxing
Sio kosa kama hapotoshi ukweli
Waxing ushafanya?
Tunaofany tunaona unapotosha baadhi ya vitu
Nashauri fanya japo underarms na miguu tu afu ulete mrejesho utaelewa kwanini
Kweli hauzuiwi
Ila usiseme uongo
Unapotosha umma
Ni sawa piaUsinishauri kufanya wax popote kwenye mwili wangu maana naogopa maumivu mimi
Wangolewaji wakikubali nitawarecord wanavyopakwa na kuganduliwa kwa kung'olewa huku wakigugumia maumivu nikeultee video hapa
Jamani hivi vitu vipo kumbe, wanaume wenzangu twendeni tukawape sapot watanzania wenzetu..
Kwa mwez mara moja tu inatosha..View attachment 2169295
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Inaweza chukua miezi 2 na mi 3 kwa mtu ambae hana nywele nyingi, so kukaa sana inategemea na asili yako ya nywele kama unazo nyingi ni mwezi na nusu hadi 2Inachukua muda gani mpka kufanya tena waxing!? Yaan ukifanya waxn leo, n itakaa kipind gan mpk kufanya waxn nyngne.
Sjui nmeeleweka hili swal meuliza [emoji6]