Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

Mtoa mada acha upotoshaji waxing ni moja ya hair removal techniques . Na watoa huduma wanafanya kazi yao vizuri tu
Na nywele zinachelewa kukua ndio sababu watu wanaipenda zaidi though it is painful especially bikini waxing

Huko spa ulishasikia wananyolewa kwa kusuguliwa???

Binafsi i prefer waxing na ninafanya underarms , bikini , full arms and full legs
 
Ilike bikini😋
 
Jamani hivi vitu vipo kumbe, wanaume wenzangu twendeni tukawape sapot watanzania wenzetu..
Kwa mwez mara moja tu inatosha..
Screenshot_20220330-143137.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa iko wapi hiyo saluni nami niende kupata hiyo huduma adhimu?
 
Spa nyingi mkuu sema ninazozijua mimi nyingi za kike . Kuna gyverspa mikocheni, the bluebelly spa victoria, heaven beauty spa upanga hizo chache ila zipo nyingi sana
Ookeee...kumbe ni za kike tu? Nilijua za kiume pia zipo nipeleke 1200 yangu ikapate huduma
 
Mtoa mada acha upotoshaji waxing ni moja ya hair removal techniques . Na watoa huduma wanafanya kazi yao vizuri tu
Na nywele zinachelewa kukua ndio sababu watu wanaipenda zaidi though it is painful especially bikini waxing

Huko spa ulishasikia wananyolewa kwa kusuguliwa???

Binafsi i prefer waxing na ninafanya underarms , bikini , full arms and full legs
Thank you
Waxing yenyewe hajawahi kufanya afu yuko hp anaizungumzia
 
Wapo wengi wanaoongelea mengi ambayo hawajawahi kuyafanya
Sio kosa mwanaume kuongelea uchungu wa kuzaa japo hajawahi ingia leba na kuzaa kwa uchungu
 
Sio kosa kama hapotoshi ukweli

Waxing ushafanya?
Tunaofany tunaona unapotosha baadhi ya vitu
Nashauri fanya japo underarms na miguu tu afu ulete mrejesho utaelewa kwanini
 
Kweli hauzuiwi
Ila usiseme uongo
Unapotosha umma

Usinishauri kufanya wax popote kwenye mwili wangu maana naogopa maumivu mimi

Wangolewaji wakikubali nitawarecord wanavyopakwa na kuganduliwa kwa kung'olewa huku wakigugumia maumivu nikeultee video hapa
 
Ni sawa pia
Ila usipotoshe kuwa sijui waxing ni kitu cha ajabu wanafanya this wanafanya that..
Ungejua maumivu yake usingeandika ulivyowaza
 
Inachukua muda gani mpka kufanya tena waxing!? Yaan ukifanya waxn leo, n itakaa kipind gan mpk kufanya waxn nyngne.

Sjui nmeeleweka hili swal meuliza [emoji6]
Inaweza chukua miezi 2 na mi 3 kwa mtu ambae hana nywele nyingi, so kukaa sana inategemea na asili yako ya nywele kama unazo nyingi ni mwezi na nusu hadi 2
 
Back
Top Bottom