Mbona rahisi tu. Kama yeye ameamua kuendeleza umagufuli maneno ya nini? Afanye kama angalifanya magufuli. Awatumbue tu na kuwakabidhi kwenye vyombo vya haki.Rais Samia ametujuza hivyo leo.
...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali.
...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za kumalizia taratibu za uwekezaji wameanza kusita!
Haya mambo yanahitaji mjadala mpana kwa maslahi ya Nchi.
Ni katika muda huo mfupi wa mwezi mmoja ambao amekuwa madarakani, au haya yalianza kabla ya hapo?Rais Samia ametujuza hivyo leo.
...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali.
...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za kumalizia taratibu za uwekezaji wameanza kusita!
Haya mambo yanahitaji mjadala mpana kwa maslahi ya Nchi.
eeehhhh bwana wewe mchukie au mpende lakini kigogo anasema kweli. nakumbuka post yake moja wakati watu wanauliza alipo Magu na yeye alishasema kuwa magu kasharudisha number, aligusia hili kuwa watu wameanza kuiba mawizarani na hadi resrve bank. Sasa hayo Rais mwenyewe amekiri.Rais Samia ametujuza hivyo leo.
...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali.
...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za kumalizia taratibu za uwekezaji wameanza kusita!
Haya mambo yanahitaji mjadala mpana kwa maslahi ya Nchi.
Na hapa tayari anawafungulia mlango waaaa!Fisadi wakigundua samia ni mtu wa maneno tu fisadi watarejea tena kwa nguvu.
NalemagaMdudu wa uaminifu alisha ondoka TZ siku mingi sana mayo weeeeeeee!!!!!!
I wish wangekuelewa ulichosema.sisi nyumbu msimamo wetu ni uhuru wa kuongea.