Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Jamani, neno "Nyoko" ni tusi...tena kubwa tu, nimeshangaa mwaka 2014 limekua sifa na hadi kuimbwa kwenye nyimbo na kupigwa redioni na kwenye TVs, saivi mtu akikwambia ww ni nyoko ati anamaanisha ww mkali...una akili sana...umetisha!! hii nchi siielewi elewi.